Nimpende Nani

Nimpende Nani Lyrics

Song Nimpende Nani
Artist DIAMOND
Album Nimpende Nani
Download Image LRC TXT
[00:16.94] nimpende nani nimpende eeeh
[00:21.31] nimpende nani nimpende aaah
[00:25.85] nimpende nani nimpende eeeh
[00:30.38] nimpende nani nimpende aaah
[00:35.03] we nilikuwaga na mpenzi akanizingua
[00:39.46] hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua
[00:43.75] isije siku miezi naye akanisumbua
[00:48.19] ikawa tena kitenzi mzigo kuutua
[00:52.42] Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
[00:56.96] nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda
[01:01.37] we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[01:06.85] wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
[01:11.16] wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[01:15.60] wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!!
[01:19.07] nimpende nani nimpende eeeh
[01:23.43] nimpende nani nimpende aaah
[01:27.90] nimpende nani nimpende eeeh
[01:32.37] nimpende nani nimpende aaah
[01:37.15] yasiwe kama ya wema sepetu kila siku magazeti hajui nidhamu na mila za kwetu mjuzi kupetipeti
[01:46.02] simtaki kama uwoya ni mtemi ana ana hasira mpole kama joketi
[01:50.50] ila sauti kama wema akiwa analia kicheko kama cha fetty
[01:54.85] Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
[01:59.11] nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda
[02:03.47] we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[02:08.81] wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
[02:13.17] wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[02:17.78] wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!
[02:21.19] nimpende nani nimpende eeeh
[02:25.87] nimpende nani nimpende aaah
[02:30.21] nimpende nani nimpende eeeh
[02:34.63] nimpende nani nimpende aaah
[02:39.12] we nilikuwaga na mpenzi akanizingua
[02:43.81] hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua
[02:47.95]
Nimpende Nani Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)