nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah we nilikuwaga na mpenzi akanizingua hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua isije siku miezi naye akanisumbua ikawa tena kitenzi mzigo kuutua Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!! nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah yasiwe kama ya wema sepetu kila siku magazeti hajui nidhamu na mila za kwetu mjuzi kupetipeti simtaki kama uwoya ni mtemi ana ana hasira mpole kama joketi ila sauti kama wema akiwa analia kicheko kama cha fetty Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani! nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah nimpende nani nimpende eeeh nimpende nani nimpende aaah we nilikuwaga na mpenzi akanizingua hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua