[00:16.94] nimpende nani nimpende eeeh [00:21.31] nimpende nani nimpende aaah [00:25.85] nimpende nani nimpende eeeh [00:30.38] nimpende nani nimpende aaah [00:35.03] we nilikuwaga na mpenzi akanizingua [00:39.46] hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua [00:43.75] isije siku miezi naye akanisumbua [00:48.19] ikawa tena kitenzi mzigo kuutua [00:52.42] Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda [00:56.96] nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda [01:01.37] we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa [01:06.85] wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa [01:11.16] wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa [01:15.60] wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!! [01:19.07] nimpende nani nimpende eeeh [01:23.43] nimpende nani nimpende aaah [01:27.90] nimpende nani nimpende eeeh [01:32.37] nimpende nani nimpende aaah [01:37.15] yasiwe kama ya wema sepetu kila siku magazeti hajui nidhamu na mila za kwetu mjuzi kupetipeti [01:46.02] simtaki kama uwoya ni mtemi ana ana hasira mpole kama joketi [01:50.50] ila sauti kama wema akiwa analia kicheko kama cha fetty [01:54.85] Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda [01:59.11] nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda [02:03.47] we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa [02:08.81] wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa [02:13.17] wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa [02:17.78] wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani! [02:21.19] nimpende nani nimpende eeeh [02:25.87] nimpende nani nimpende aaah [02:30.21] nimpende nani nimpende eeeh [02:34.63] nimpende nani nimpende aaah [02:39.12] we nilikuwaga na mpenzi akanizingua [02:43.81] hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua [02:47.95]