Nishapona

Nishapona Lyrics

Song Nishapona
Artist Harmonize
Album Nishapona
Download Image LRC TXT
[00:05.93] Imani nafsi inaniambia
[00:07.07] Haukuwa fungu langu
[00:08.35] Na sidhani kama nilikosea
[00:11.02] Kuukabidhi moyo wangu
[02:57.83] Ulinidanganya mapenzi ni zuri basi
[02:58.09] Panda twende safari
[02:58.39] Bila kujua la kwako ni mwendo kasi
[02:58.61] Ghafla ukanipa ajali
[02:58.83] Upweke umetawala nafsi
[02:59.17] Mwenzako usiku silali
[02:59.46] Ninahesabu mabati
[02:59.69] Kisa wewe
[02:59.93] Sijutii moyo wangu
[03:00.28] Kupenda nisipopendwa
[03:00.49] Sirudii makosa yangu
[03:00.76] Ujinga wakati wakwenda
[03:01.04] Kinachoniuma roho yangu ooh
[03:01.24] Kuwapa neno wahenga
[03:01.55] Maana si kwa posti zangu
[03:01.88] Na kujinadi napendwa
[03:02.05] Nishapona, nishapona
[03:02.40] Nishapona ila mazoea
[03:30.39] Basi nenda umwambie
[03:30.63] Nishapona!
[03:30.96] Oooh mwambie
[03:31.11] Basi umwambie eeh
[03:31.47] Nishapona ila mazoea
[03:31.69] Heshima kunyenyekea
[03:31.91] Nilivyomnyenyekea
[03:32.28] Akaniona si chochote kwake
[03:32.41] Mazima akanipotezea
[03:32.75] Akanipotezea, alipomaliza shida zake
[03:33.05] Na bado siamini kweli ndo yule
[03:33.25] Alokuwa akisema, halali asiponiona
[03:33.57] Na kujilisha ya nini? Yote ni bure
[03:33.88] Nikamwita chanda chema, alinidanganya
[03:34.04] Zile miziki za kunichombeza, zinaniuma roho
[03:34.38] Mara akinidekeza, elaji njoo
[03:34.67] Ungesema nilipoteleza, nikamwomba koo
[03:34.88] Si vyema amenitelekeza mb kisadooo
[03:35.43] Basi nenda umwambie, nishapona!
[03:35.74] Oooh mwambie
[03:36.29] Basi umwambie eeh
[03:36.56] Nishapona ila mazoea
[03:36.73] Basi nenda umwambie, Nishapona!
[03:37.07] Oooh mwambie
[03:37.32] Basi umwambie eeh
[03:37.56] Nishapona ila mazoea
[03:37.80] Nenda kamwambie naja
[03:38.18] Nenda kamwambie naja
[03:38.33] Basi nenda kamwambie naja
[03:38.67] Nenda kamwambie naja
[03:38.96]
Nishapona Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)