[00:05.93] Imani nafsi inaniambia [00:07.07] Haukuwa fungu langu [00:08.35] Na sidhani kama nilikosea [00:11.02] Kuukabidhi moyo wangu [02:57.83] Ulinidanganya mapenzi ni zuri basi [02:58.09] Panda twende safari [02:58.39] Bila kujua la kwako ni mwendo kasi [02:58.61] Ghafla ukanipa ajali [02:58.83] Upweke umetawala nafsi [02:59.17] Mwenzako usiku silali [02:59.46] Ninahesabu mabati [02:59.69] Kisa wewe [02:59.93] Sijutii moyo wangu [03:00.28] Kupenda nisipopendwa [03:00.49] Sirudii makosa yangu [03:00.76] Ujinga wakati wakwenda [03:01.04] Kinachoniuma roho yangu ooh [03:01.24] Kuwapa neno wahenga [03:01.55] Maana si kwa posti zangu [03:01.88] Na kujinadi napendwa [03:02.05] Nishapona, nishapona [03:02.40] Nishapona ila mazoea [03:30.39] Basi nenda umwambie [03:30.63] Nishapona! [03:30.96] Oooh mwambie [03:31.11] Basi umwambie eeh [03:31.47] Nishapona ila mazoea [03:31.69] Heshima kunyenyekea [03:31.91] Nilivyomnyenyekea [03:32.28] Akaniona si chochote kwake [03:32.41] Mazima akanipotezea [03:32.75] Akanipotezea, alipomaliza shida zake [03:33.05] Na bado siamini kweli ndo yule [03:33.25] Alokuwa akisema, halali asiponiona [03:33.57] Na kujilisha ya nini? Yote ni bure [03:33.88] Nikamwita chanda chema, alinidanganya [03:34.04] Zile miziki za kunichombeza, zinaniuma roho [03:34.38] Mara akinidekeza, elaji njoo [03:34.67] Ungesema nilipoteleza, nikamwomba koo [03:34.88] Si vyema amenitelekeza mb kisadooo [03:35.43] Basi nenda umwambie, nishapona! [03:35.74] Oooh mwambie [03:36.29] Basi umwambie eeh [03:36.56] Nishapona ila mazoea [03:36.73] Basi nenda umwambie, Nishapona! [03:37.07] Oooh mwambie [03:37.32] Basi umwambie eeh [03:37.56] Nishapona ila mazoea [03:37.80] Nenda kamwambie naja [03:38.18] Nenda kamwambie naja [03:38.33] Basi nenda kamwambie naja [03:38.67] Nenda kamwambie naja [03:38.96]