Rhumba Japani

Rhumba Japani Lyrics

Song Rhumba Japani
Artist Sauti Sol
Artist Okello Max
Album Midnight Train
Download Image LRC TXT
[00:19.55] Kuna rhumba ya Juja
[00:21.69] Na ni ya maboy
[00:23.54] Ukisaka mitumba
[00:25.19] Enda rhumba ya Toi
[00:27.27] Kuna rhumba ya Kibich
[00:29.08] Utajua hujui
[00:30.98] Kuna rhumba for all you niggas
[00:32.61] Ila rhumba Japani ndio rhumba
[00:34.53] Kuna rhumba ya State House
[00:36.67] Iko chini ya maji
[00:38.26] Kuna rhumba ya Bunge
[00:40.36] Ya majambazi
[00:42.21] Ukileta ujinga (Wee)
[00:44.04] Utalala ndani
[00:45.92] Kuna rhumba for all you niggas
[00:47.57] Lakini rhumba Japani ndio rhumba
[00:50.31] Hapa ni wapi?
[00:51.96] Tumezungukwa na shisha na shahsamani
[00:55.59] Mapochopocho na vinywaji mbali mbali
[00:59.23] Wengine wanatapika wakizirai
[01:05.10] Hapa ni wapi? (Sol Generation)
[01:07.05] Wanatutwanga mapicha kipaparazi
[01:10.56] Tumezungukwa na warembo geti kali
[01:14.22] Tunazitoka na style za kizamani
[01:19.04]
[01:27.08] Kuna rhumba ya Westy
[01:29.37] Ya mabeshte
[01:30.99] Wa mashinani
[01:32.81] Sheki your waist
[01:34.60] Rhumba ni nyepesi
[01:36.52] Isikue kesi
[01:38.49] Kuna rhumba for all my niggas
[01:40.36] Ila rhumba Japani ndio rhumba
[01:42.02] Kuna rhumba Karura
[01:44.13] Ya kupanda miti
[01:46.15] Ukiwa Koinange
[01:47.60] Hakunaga risiti
[01:49.71] Rhumba Oyole
[01:51.64] Hio ni ya mangwati
[01:53.40] To all of my hoes and all of my niggas
[01:55.44] Rhumba Japani ndio rhumba
[01:57.62] Hapa ni wapi?
[01:59.28] Tumezungukwa na mabouncer kama chwani
[02:03.12] Kuna mapedi, mapoko pia mapinji
[02:06.64] Na wanaseti michele kwenye vinywaji
[02:12.53] Hapa ni wapi?
[02:14.34] Kuna visanga vioja mahakamani
[02:18.11] Wapenzi wapigana mate hadharani
[02:21.84] Wengine wanatekana nyuma ya taxi
[02:26.48]
[02:34.08] Nitie rhumba Obunga
[02:36.40] Mano mar jothurwa
[02:38.19] To kidwa bilo mbuta
[02:40.08] Rieri yo manyata
[02:41.85] Yawuoi orwaka akala
[02:43.75] To nyiwa ondiso avunja
[02:45.89] Kuna rhumba for all you niggas
[02:47.64] Lakini rhumba Japani ndio rhumba
[02:50.51] Ah-ah, ah-ah
[02:52.89] Sol Generation you know
[02:56.65] Hii shit imeniweka zone
[03:00.42] Inatamba
[03:01.62] Ah-ah
[03:05.05] Hapa ni wapi?
[03:06.98] Waheshimiwa wako nje kwa foleni
[03:10.65] Na raia wako ndani wajivinjari
[03:14.38] Wanazitoka na style ni za kiodi
[03:19.94] Hapa ni wapi?
[03:21.84] Mawochi wote wameleta utiaji
[03:25.69] Wakafungia wakubwa nje ya party
[03:29.49] Wakaachia ofisi wafanyikazi
[03:32.29]
Rhumba Japani Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)