[00:19.55] Kuna rhumba ya Juja [00:21.69] Na ni ya maboy [00:23.54] Ukisaka mitumba [00:25.19] Enda rhumba ya Toi [00:27.27] Kuna rhumba ya Kibich [00:29.08] Utajua hujui [00:30.98] Kuna rhumba for all you niggas [00:32.61] Ila rhumba Japani ndio rhumba [00:34.53] Kuna rhumba ya State House [00:36.67] Iko chini ya maji [00:38.26] Kuna rhumba ya Bunge [00:40.36] Ya majambazi [00:42.21] Ukileta ujinga (Wee) [00:44.04] Utalala ndani [00:45.92] Kuna rhumba for all you niggas [00:47.57] Lakini rhumba Japani ndio rhumba [00:50.31] Hapa ni wapi? [00:51.96] Tumezungukwa na shisha na shahsamani [00:55.59] Mapochopocho na vinywaji mbali mbali [00:59.23] Wengine wanatapika wakizirai [01:05.10] Hapa ni wapi? (Sol Generation) [01:07.05] Wanatutwanga mapicha kipaparazi [01:10.56] Tumezungukwa na warembo geti kali [01:14.22] Tunazitoka na style za kizamani [01:19.04] [01:27.08] Kuna rhumba ya Westy [01:29.37] Ya mabeshte [01:30.99] Wa mashinani [01:32.81] Sheki your waist [01:34.60] Rhumba ni nyepesi [01:36.52] Isikue kesi [01:38.49] Kuna rhumba for all my niggas [01:40.36] Ila rhumba Japani ndio rhumba [01:42.02] Kuna rhumba Karura [01:44.13] Ya kupanda miti [01:46.15] Ukiwa Koinange [01:47.60] Hakunaga risiti [01:49.71] Rhumba Oyole [01:51.64] Hio ni ya mangwati [01:53.40] To all of my hoes and all of my niggas [01:55.44] Rhumba Japani ndio rhumba [01:57.62] Hapa ni wapi? [01:59.28] Tumezungukwa na mabouncer kama chwani [02:03.12] Kuna mapedi, mapoko pia mapinji [02:06.64] Na wanaseti michele kwenye vinywaji [02:12.53] Hapa ni wapi? [02:14.34] Kuna visanga vioja mahakamani [02:18.11] Wapenzi wapigana mate hadharani [02:21.84] Wengine wanatekana nyuma ya taxi [02:26.48] [02:34.08] Nitie rhumba Obunga [02:36.40] Mano mar jothurwa [02:38.19] To kidwa bilo mbuta [02:40.08] Rieri yo manyata [02:41.85] Yawuoi orwaka akala [02:43.75] To nyiwa ondiso avunja [02:45.89] Kuna rhumba for all you niggas [02:47.64] Lakini rhumba Japani ndio rhumba [02:50.51] Ah-ah, ah-ah [02:52.89] Sol Generation you know [02:56.65] Hii shit imeniweka zone [03:00.42] Inatamba [03:01.62] Ah-ah [03:05.05] Hapa ni wapi? [03:06.98] Waheshimiwa wako nje kwa foleni [03:10.65] Na raia wako ndani wajivinjari [03:14.38] Wanazitoka na style ni za kiodi [03:19.94] Hapa ni wapi? [03:21.84] Mawochi wote wameleta utiaji [03:25.69] Wakafungia wakubwa nje ya party [03:29.49] Wakaachia ofisi wafanyikazi [03:32.29]