Wapo

Wapo Lyrics

Song Wapo
Artist Ben Pol
Album Wapo
Download Image LRC TXT
[00:00.75] It's Bob Maneke
[00:04.00] Eltianam
[00:12.32] Usiku wa mananeeeeh jua kali likawaka
[00:17.63] Hali ambayo sikuizoea ivyo ilinipa mashaka
[00:22.95] Sikutaka tugombaneeeeeh yeye ndo alitaka
[00:28.12] Akawa ananililia eti anataka talaka
[00:33.06] Lile ua letu lote la upendo ndo likanyaukaah
[00:37.50] Aaaaaah eeeeh
[00:38.89] Nilitaka kua chizi maaawe ningeweuka
[00:44.25] Nikasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
[00:49.58] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
[00:55.09] Wengine wapo wapo wapo
[00:59.65] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[01:05.04] Wengine wapo wapo wapo
[01:10.24] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[01:26.94] Nlikonda kwa mawazo nlikosa raha nlipata wasiwasi
[01:32.14] Ila nlijipa moyo natupa jiwe ntapata almasi
[01:37.38] Saa nyingine nilifumba ata macho namuona yeye
[01:43.14] Ilinipa tabu kusahau moyoni alikuaaa. ah
[01:47.31] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
[01:53.57] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
[01:58.82] Wengine wapo wapo wapo
[02:03.62] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[02:08.94] Wengine wapo wapo wapo
[02:14.26] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[02:20.07] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
[02:25.69] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
[02:30.78] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
[02:36.32] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
[02:41.52] Wengine wapo wapo wapo
[02:46.28] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[02:51.98] Wengine wapo wapo wapo
[02:57.10] Mapenzi yapo yapo yapo tu
[03:02.50] Yapoooo tuuuuuuu
[03:07.56]
Wapo Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)