[00:00.75] It's Bob Maneke [00:04.00] Eltianam [00:12.32] Usiku wa mananeeeeh jua kali likawaka [00:17.63] Hali ambayo sikuizoea ivyo ilinipa mashaka [00:22.95] Sikutaka tugombaneeeeeh yeye ndo alitaka [00:28.12] Akawa ananililia eti anataka talaka [00:33.06] Lile ua letu lote la upendo ndo likanyaukaah [00:37.50] Aaaaaah eeeeh [00:38.89] Nilitaka kua chizi maaawe ningeweuka [00:44.25] Nikasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala [00:49.58] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani [00:55.09] Wengine wapo wapo wapo [00:59.65] Mapenzi yapo yapo yapo tu [01:05.04] Wengine wapo wapo wapo [01:10.24] Mapenzi yapo yapo yapo tu [01:26.94] Nlikonda kwa mawazo nlikosa raha nlipata wasiwasi [01:32.14] Ila nlijipa moyo natupa jiwe ntapata almasi [01:37.38] Saa nyingine nilifumba ata macho namuona yeye [01:43.14] Ilinipa tabu kusahau moyoni alikuaaa. ah [01:47.31] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala [01:53.57] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani [01:58.82] Wengine wapo wapo wapo [02:03.62] Mapenzi yapo yapo yapo tu [02:08.94] Wengine wapo wapo wapo [02:14.26] Mapenzi yapo yapo yapo tu [02:20.07] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala [02:25.69] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani [02:30.78] Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala [02:36.32] Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani [02:41.52] Wengine wapo wapo wapo [02:46.28] Mapenzi yapo yapo yapo tu [02:51.98] Wengine wapo wapo wapo [02:57.10] Mapenzi yapo yapo yapo tu [03:02.50] Yapoooo tuuuuuuu [03:07.56]