Ex Boyfriend

Ex Boyfriend Lyrics

Song Ex Boyfriend
Artist Rayvanny
Album Chombo
Download Image LRC TXT
[00:16.53] Leo nakula kwa macho
[00:18.86] Nguvu ya kusema sina
[00:22.82] Maneno ya mipasho
[00:24.55] Na jeuri vimeshazima
[00:28.75] Nilishafuta namba zako
[00:30.78] Nikachoma picha zako
[00:33.28] Sikujali ulivyolia
[00:35.47] Mbele ya mashoga zako
[00:36.97] Nikasema uende zako
[00:38.56] Nguo nikakutupia
[00:41.42] Na zaidi uliuguza vindonda
[00:45.21] Kwa vipigo manyanyaso kila siku
[00:48.45] Kwa mawazo ukakonda Niko bussy kuchiti
[00:53.04] Nafungua zipu
[00:54.58] Ulinibembeleza nikakubeza
[00:57.55] Unanuka na nikatukelekeza
[00:59.99] Macho makengeza miguu ya pweza
[01:03.22] Kuwa nawe nkasema niliteleza
[01:06.08] Leo unapendeza wamekutengeneza
[01:09.23] Wanaume wenye mali wenye fedha
[01:12.08] Sasa unajiweza na siwezi kujikweza
[01:15.35] Najutia nafasi kuipoteza
[01:17.93] Leo aibu yangu
[01:20.07] Ex boyfriend
[01:22.87] Ex boyfriend
[01:26.05] Ex boyfriend
[01:28.56] Siiti tena honey baby jina langu limekua
[01:32.16] Ex boyfriend
[01:35.25] Ex boyfriend
[01:38.26] Ex boyfriend
[01:41.12] Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua
[01:45.12]
[01:53.99] Nawaza nilifeli wapi kusema sikutaki
[01:57.93] Sura ya baba na kitambi cha makapi
[02:00.15] Sasa unamtanashati bitozi tena smart
[02:03.64] Mtu wa gym tena ana six-pack
[02:06.38] Mi nipo juu ya bati
[02:07.93] Sina mikakati
[02:10.22] Ghetto mwendo chai na chapati
[02:12.74] We ushahama mburahati
[02:14.60] Una nyumba masaki
[02:16.28] Mnachoma nyama kila siku party
[02:18.88] Ushanipiga mikuki aah
[02:22.13] Insta mi sifurukuti aah
[02:25.13] Mambo ya gauni suti aah
[02:28.12] Mkifanya photoshoot aah
[02:30.31] Mapenzi hayana commando
[02:34.40] Mwenzako unaniuma roho
[02:37.11] Natamani nikuite njoo
[02:40.03] Turudi kama before
[02:42.57] Kumbe shape ilijificha kwenye dera
[02:45.75] Hizo skin-jeans mama zinakera
[02:48.82] Utaniletea kadi kwenye machela
[02:51.62] Siku wakikuvalisha shela
[02:55.08] Na ulinibembeleza nikakubeza
[02:58.59] Unanuka na nikakutelekeza
[03:01.30] Macho makengeza miguu ya pweza
[03:04.83] Kuwa nawe nkasema niliteleza
[03:07.56] Leo unapendeza wamekutengeneza
[03:10.66] Wanaume wenye mali wenye fedha
[03:13.49] Sasa unajiweza na sio najikweza
[03:16.92] Najutia nafasi kuipoteza
[03:19.08] Leo aibu yangu
[03:21.58] Ex boyfriend
[03:24.46] Ex boyfriend
[03:27.83] Ex boyfriend
[03:30.13] Siiti tena honey baby jina langu limekua
[03:34.04] Ex boyfriend
[03:36.66]
[03:39.87] Ex boyfriend
[03:42.85] Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua
[03:50.35]
Ex Boyfriend Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)