[00:16.53] Leo nakula kwa macho [00:18.86] Nguvu ya kusema sina [00:22.82] Maneno ya mipasho [00:24.55] Na jeuri vimeshazima [00:28.75] Nilishafuta namba zako [00:30.78] Nikachoma picha zako [00:33.28] Sikujali ulivyolia [00:35.47] Mbele ya mashoga zako [00:36.97] Nikasema uende zako [00:38.56] Nguo nikakutupia [00:41.42] Na zaidi uliuguza vindonda [00:45.21] Kwa vipigo manyanyaso kila siku [00:48.45] Kwa mawazo ukakonda Niko bussy kuchiti [00:53.04] Nafungua zipu [00:54.58] Ulinibembeleza nikakubeza [00:57.55] Unanuka na nikatukelekeza [00:59.99] Macho makengeza miguu ya pweza [01:03.22] Kuwa nawe nkasema niliteleza [01:06.08] Leo unapendeza wamekutengeneza [01:09.23] Wanaume wenye mali wenye fedha [01:12.08] Sasa unajiweza na siwezi kujikweza [01:15.35] Najutia nafasi kuipoteza [01:17.93] Leo aibu yangu [01:20.07] Ex boyfriend [01:22.87] Ex boyfriend [01:26.05] Ex boyfriend [01:28.56] Siiti tena honey baby jina langu limekua [01:32.16] Ex boyfriend [01:35.25] Ex boyfriend [01:38.26] Ex boyfriend [01:41.12] Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua [01:45.12] [01:53.99] Nawaza nilifeli wapi kusema sikutaki [01:57.93] Sura ya baba na kitambi cha makapi [02:00.15] Sasa unamtanashati bitozi tena smart [02:03.64] Mtu wa gym tena ana six-pack [02:06.38] Mi nipo juu ya bati [02:07.93] Sina mikakati [02:10.22] Ghetto mwendo chai na chapati [02:12.74] We ushahama mburahati [02:14.60] Una nyumba masaki [02:16.28] Mnachoma nyama kila siku party [02:18.88] Ushanipiga mikuki aah [02:22.13] Insta mi sifurukuti aah [02:25.13] Mambo ya gauni suti aah [02:28.12] Mkifanya photoshoot aah [02:30.31] Mapenzi hayana commando [02:34.40] Mwenzako unaniuma roho [02:37.11] Natamani nikuite njoo [02:40.03] Turudi kama before [02:42.57] Kumbe shape ilijificha kwenye dera [02:45.75] Hizo skin-jeans mama zinakera [02:48.82] Utaniletea kadi kwenye machela [02:51.62] Siku wakikuvalisha shela [02:55.08] Na ulinibembeleza nikakubeza [02:58.59] Unanuka na nikakutelekeza [03:01.30] Macho makengeza miguu ya pweza [03:04.83] Kuwa nawe nkasema niliteleza [03:07.56] Leo unapendeza wamekutengeneza [03:10.66] Wanaume wenye mali wenye fedha [03:13.49] Sasa unajiweza na sio najikweza [03:16.92] Najutia nafasi kuipoteza [03:19.08] Leo aibu yangu [03:21.58] Ex boyfriend [03:24.46] Ex boyfriend [03:27.83] Ex boyfriend [03:30.13] Siiti tena honey baby jina langu limekua [03:34.04] Ex boyfriend [03:36.66] [03:39.87] Ex boyfriend [03:42.85] Sikujua kumbe tabu peke yangu naugua [03:50.35]