|
Naona kiza eeh |
|
Eeh Yeah |
|
Oh my my my Jela |
|
(Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu) |
|
Jela ah ah Jela aaah |
|
(Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu) |
|
Jela aah ooh |
|
Tangu nifungwe sikuoni |
|
Mara ya mwisho nilikuona mahakamani |
|
Ulikuja kuniona nadhani |
|
Tangu niwe Jela sijakuona tena ooh ooh |
|
Vipi kulikoni |
|
Kwani me na we tuna tatizo gani |
|
Unakula Bata uraiani |
|
Njoo unione nimezungukwa na vyuma |
|
(Njoo unione le le le eee) |
|
Nilifanya kazi ngumu kwa shida |
|
Yote kwa sababu nilitaka kushiba |
|
Mara ya mwisho kukamatwa niliiba |
|
Yani chupu chupu kifo cha kupigwa |
|
Umeongeza hukumu juu ya hukumu |
|
Why unanikataa |
|
Unashindwa kutuma hata salamu |
|
Mwenzako nateseka |
|
Oyo oyooooo (Jela) |
|
Christmas ya sita hii nipo Jela |
|
(Imevunja penzi letu) |
|
Hata siku moja kutia mguu (Jela) |
|
Mbona una roho ngumu wewe |
|
(Imevunja penzi letu) |
|
Nasikia una kabwana kadogo dogo |
|
Pesa unazitumia kwa fujo fujo |
|
Umetupa jongoo (na mti wake eeeh) |
|
Nyumba ya buza umeuza |
|
Nauliza naambiwa fedha umemaliza kwa kulewea |
|
Nakesha na giza |
|
Nauliza naambiwa eti bado sana me kutoka Jela |
|
(Jela) Jela mbaya yeye |
|
Jela pagumu mpenzi (njoo unione yeye) |
|
Nilifanya kazi ngumu kwa shida |
|
Yote kwa sababu nilitaka kushiba |
|
Mara ya mwisho kukamatwa niliiba |
|
Yani chupu chupu kifo cha kupigwa |
|
Umeongeza hukumu juu ya hukumu |
|
Why unanikataa |
|
Unashindwa kutuma hata salamu |
|
Mwenzako nateseka |
|
Oyo oyooooo (Jela) |
|
Je Jela (imevunja penzi letu) |
|
Jela mbaya mbaya Jela pabaya (Jela) |
|
Laaaa la la la la la laaaa |
|
(Imevunja penzi letu) |