Naona kiza eeh Eeh Yeah Oh my my my Jela (Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu) Jela ah ah Jela aaah (Isiwe sababu ya kuvunja penzi letu) Jela aah ooh Tangu nifungwe sikuoni Mara ya mwisho nilikuona mahakamani Ulikuja kuniona nadhani Tangu niwe Jela sijakuona tena ooh ooh Vipi kulikoni Kwani me na we tuna tatizo gani Unakula Bata uraiani Njoo unione nimezungukwa na vyuma (Njoo unione le le le eee) Nilifanya kazi ngumu kwa shida Yote kwa sababu nilitaka kushiba Mara ya mwisho kukamatwa niliiba Yani chupu chupu kifo cha kupigwa Umeongeza hukumu juu ya hukumu Why unanikataa Unashindwa kutuma hata salamu Mwenzako nateseka Oyo oyooooo (Jela) Christmas ya sita hii nipo Jela (Imevunja penzi letu) Hata siku moja kutia mguu (Jela) Mbona una roho ngumu wewe (Imevunja penzi letu) Nasikia una kabwana kadogo dogo Pesa unazitumia kwa fujo fujo Umetupa jongoo (na mti wake eeeh) Nyumba ya buza umeuza Nauliza naambiwa fedha umemaliza kwa kulewea Nakesha na giza Nauliza naambiwa eti bado sana me kutoka Jela (Jela) Jela mbaya yeye Jela pagumu mpenzi (njoo unione yeye) Nilifanya kazi ngumu kwa shida Yote kwa sababu nilitaka kushiba Mara ya mwisho kukamatwa niliiba Yani chupu chupu kifo cha kupigwa Umeongeza hukumu juu ya hukumu Why unanikataa Unashindwa kutuma hata salamu Mwenzako nateseka Oyo oyooooo (Jela) Je Jela (imevunja penzi letu) Jela mbaya mbaya Jela pabaya (Jela) Laaaa la la la la la laaaa (Imevunja penzi letu)