| [00:06.42] | Rudi utotoni |
| [00:07.65] | Usipotembea utabebwa mgongoni |
| [00:09.65] | 255 champion boy niite Mbwana Samatta |
| [00:14.51] | |
| [00:23.38] | Wanaota mapembe waongezee mkia |
| [00:25.67] | Na ukinibeep tu nakupigia |
| [00:27.56] | An' let me make one thing clear |
| [00:29.97] | Blaa blaa sitaki kusikia |
| [00:32.26] | So simba so chui so mamba (Hhah) |
| [00:34.73] | Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah) |
| [00:37.01] | Na sina maneno ya kwenye kanga |
| [00:38.65] | Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa |
| [00:40.94] | Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa |
| [00:43.58] | Sinzia fegi uchome kibanda |
| [00:45.75] | Kalale uote ndoto zako za kitanda |
| [00:48.19] | Sisi bado tupo macho mida ya wanga |
| [00:50.42] | Funga mkanda |
| [00:51.58] | Kaza na kamba |
| [00:52.53] | Ama ufate nyayo uchane msamba |
| [00:55.08] | Pasua miamba |
| [00:56.15] | Pasua anga |
| [00:57.23] | Tunasemaga chambua kama karanga |
| [00:59.47] | Maisha na muziki acha maneno weka muziki |
| [01:04.77] | Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah) |
| [01:09.96] | Safari na muziki (heah) |
| [01:11.66] | Acha maneno weka muziki (yeeeah) |
| [01:14.76] | Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki |
| [01:17.55] | Bambataaa shika kamataa |
| [01:20.46] | Pumba chakacha |
| [01:22.92] | Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah |
| [01:25.49] | Unataka kukimbia na hauna brekii |
| [01:29.23] | What do you expect? |
| [01:31.75] | Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki |
| [01:33.64] | Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make |
| [01:36.08] | Watch youtself usije ukajiconfuse |
| [01:38.43] | Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues |
| [01:40.72] | Huna mchuzi no excuse |
| [01:42.94] | Maisha yetu ya kila siku kama vile movie |
| [01:45.20] | Vitu vingine havitakagi ujuaji |
| [01:46.98] | Utajikuta unatandikia watu jamvi |
| [01:49.57] | Kusubiria embe chini ya mnazi |
| [01:52.02] | Kumuelewesha chizi utajipa kazi |
| [01:54.33] | Funga mkanda |
| [01:55.52] | Kaza na kamba |
| [01:56.61] | Ama ufate nyayo uchane msamba |
| [01:58.99] | Pasua miamba pasua anga |
| [02:01.41] | Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii) |
| [02:05.03] | Maisha na muziki acha maneno weka muziki |
| [02:08.07] | Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah) |
| [02:13.55] | Safari na muziki (yeeeah) |
| [02:15.62] | Acha maneno weka muziki, (yeeeah) |
| [02:18.32] | Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki |
| [02:21.49] | Wanatamani tupotee kwenye map |
| [02:23.70] | Tunapeleka game to the top top |
| [02:26.50] | Is that I told yah, that we don't stop |
| [02:28.94] | We don't stop, we don't stop |
| [02:30.97] | Wanatamani tupotee kwenye map |
| [02:33.66] | Tunapeleka game to the top top |
| [02:35.89] | Is that I told yah,that we don't stop |
| [02:38.02] | We don't stop, we don't stop |
| [02:55.88] |