[00:06.42] Rudi utotoni [00:07.65] Usipotembea utabebwa mgongoni [00:09.65] 255 champion boy niite Mbwana Samatta [00:14.51] [00:23.38] Wanaota mapembe waongezee mkia [00:25.67] Na ukinibeep tu nakupigia [00:27.56] An' let me make one thing clear [00:29.97] Blaa blaa sitaki kusikia [00:32.26] So simba so chui so mamba (Hhah) [00:34.73] Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah) [00:37.01] Na sina maneno ya kwenye kanga [00:38.65] Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa [00:40.94] Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa [00:43.58] Sinzia fegi uchome kibanda [00:45.75] Kalale uote ndoto zako za kitanda [00:48.19] Sisi bado tupo macho mida ya wanga [00:50.42] Funga mkanda [00:51.58] Kaza na kamba [00:52.53] Ama ufate nyayo uchane msamba [00:55.08] Pasua miamba [00:56.15] Pasua anga [00:57.23] Tunasemaga chambua kama karanga [00:59.47] Maisha na muziki acha maneno weka muziki [01:04.77] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah) [01:09.96] Safari na muziki (heah) [01:11.66] Acha maneno weka muziki (yeeeah) [01:14.76] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki [01:17.55] Bambataaa shika kamataa [01:20.46] Pumba chakacha [01:22.92] Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah [01:25.49] Unataka kukimbia na hauna brekii [01:29.23] What do you expect? [01:31.75] Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki [01:33.64] Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make [01:36.08] Watch youtself usije ukajiconfuse [01:38.43] Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues [01:40.72] Huna mchuzi no excuse [01:42.94] Maisha yetu ya kila siku kama vile movie [01:45.20] Vitu vingine havitakagi ujuaji [01:46.98] Utajikuta unatandikia watu jamvi [01:49.57] Kusubiria embe chini ya mnazi [01:52.02] Kumuelewesha chizi utajipa kazi [01:54.33] Funga mkanda [01:55.52] Kaza na kamba [01:56.61] Ama ufate nyayo uchane msamba [01:58.99] Pasua miamba pasua anga [02:01.41] Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii) [02:05.03] Maisha na muziki acha maneno weka muziki [02:08.07] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah) [02:13.55] Safari na muziki (yeeeah) [02:15.62] Acha maneno weka muziki, (yeeeah) [02:18.32] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki [02:21.49] Wanatamani tupotee kwenye map [02:23.70] Tunapeleka game to the top top [02:26.50] Is that I told yah, that we don't stop [02:28.94] We don't stop, we don't stop [02:30.97] Wanatamani tupotee kwenye map [02:33.66] Tunapeleka game to the top top [02:35.89] Is that I told yah,that we don't stop [02:38.02] We don't stop, we don't stop [02:55.88]