Kwa Ngwaru

Kwa Ngwaru Lyrics

Song Kwa Ngwaru
Artist Diamond Platnumz
Artist Harmonize
Album Kwa Ngwaru
Download Image LRC TXT
[00:10.92] Iyoo Lizer
[00:12.95] Hhhhmmmm
[00:13.97] I wish ninge kuwaga na mavumba
[00:15.48] Mkwanja manoti
[00:17.39] Nikuhonge vya thamani
[00:20.19] Ama! Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
[00:23.93] Masanja Joti
[00:27.13] Usiwe mbali nami
[00:29.08] Hhhmmmm
[00:31.29] My darling, I need you love oh
[00:33.10] Uwe nami
[00:35.40] Haki ya Mungu nakupenda
[00:37.17] Nobody can show your love oh
[00:40.70]
[00:43.23] Usiwaamini
[00:44.57] Ukisha wapa wanakwenda
[00:45.43] Oh, basi jilegeze
[00:48.77]
[00:50.86] Nikubebe mgongoni (iyelewi)
[00:52.76] Deka nikudekeze
[00:55.98] Nikutunze kama mboni (iyelewi)
[00:57.38] Wakija uwapoteze
[00:58.86] Jifanye kama huwaoni (iyelewi)
[01:02.08] Kisha uniongeze
[01:04.56] Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
[01:06.62] Ooh baby...
[01:08.82] Asa dance nikuone (kwa ngwaru)
[01:11.65] Wa bami jo (kwa ngwaru)
[01:13.45] Ololu Femi (kwa ngwaru)
[01:15.19] Oooh baby...
[01:17.86] Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
[01:20.59] Wa bami jo (kwa ngwaru)
[01:22.82] Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[01:25.98] Aaagah
[01:27.04] Moyo wangu wa muarobaini
[01:28.39] Mchungu ukiuziwa
[01:30.16] Samehe mara sabini
[01:31.94] Huo uzungu sija jaaliwa
[01:35.07] Ungependa juu ama chini
[01:36.48] Kwenye uvungu uparemiwa
[01:39.25] Nikumbatie baridini
[01:41.96] Kwenye tundu kama njiwa
[01:43.77] Moyo wangu mie wa makuti
[01:46.85] Usinijie na kiberiti (hasa wee!)
[01:49.77] Penzi likageuka chuki
[01:52.33] Nyumba ikawa kibiti (hasa wee!)
[01:54.29] Nipatie vya kitandani
[01:57.13] Nipe mpaka kwenye kiti (hasa wee!)
[01:58.66] Ila asiniingie shetani
[02:01.34] Nawe nikaja kukucheati
[02:03.58] Oh, basi jilegeze
[02:05.43] Nikubebe mgongoni (iyelewi)
[02:06.83] Kitandani nikoleze
[02:09.24] Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
[02:12.20] Kisha nibembeleze
[02:14.69] Nirudishe utotoni (iyelewi)
[02:16.28] Weka mate niteleze
[02:18.52] Kama nyoka pangoni (iyelewi)
[02:21.73] Ooh baby...
[02:23.92] Asa dance kidogo (kwa ngwaru)
[02:26.02] Oh wabanwe choo (kwa ngwaru)
[02:28.59] Ololu Femi (kwa ngwaru)
[02:30.52] Oooh baby...
[02:32.63] Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
[02:35.37] Wa bami jo (kwa ngwaru)
[02:37.36] Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[02:40.22] Aaagah
[02:41.52] Unataka kucheza chura na ingali umesimama
[02:43.08] Ai inama inama (asa waoneshe)
[02:47.50] Ai inama inama (unachezaje)
[02:48.81] Ai inama inama
[02:51.63] Unataka maji ya kisima na mwoga wa kuchutama
[02:55.37] Ai inama inama (ebu waoneshe)
[02:56.56] Ai inama inama (unachotaje)
[02:58.90] Ai inama inama
[03:00.72] Unataka kupiga deki wima umesimama
[03:02.08] Ai inama inama (ebu tuoneshe)
[03:04.49] Aah, inama inama
[03:06.27] Unapiga je
[03:08.83] Ai inama inama
[03:10.33] Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
[03:11.64] Ai inama inama
[03:13.97] Ebu tuonyeshe
[03:15.66] Ai inama inama
[03:17.70] Unalenga je
[03:19.08] Ai inama inama
[03:20.44] (Wasafi Record)
[03:21.87] Oya, wanangu wa kigogo (ai inama)
[03:25.68]
[03:29.51] Nipe za Mose Iyobo (ai inama)
[03:31.78] Vunja vunja kidogo (ai inama)
[03:33.99] Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)
[03:35.52]
Kwa Ngwaru Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)