[00:10.92] Iyoo Lizer [00:12.95] Hhhhmmmm [00:13.97] I wish ninge kuwaga na mavumba [00:15.48] Mkwanja manoti [00:17.39] Nikuhonge vya thamani [00:20.19] Ama! Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba [00:23.93] Masanja Joti [00:27.13] Usiwe mbali nami [00:29.08] Hhhmmmm [00:31.29] My darling, I need you love oh [00:33.10] Uwe nami [00:35.40] Haki ya Mungu nakupenda [00:37.17] Nobody can show your love oh [00:40.70] [00:43.23] Usiwaamini [00:44.57] Ukisha wapa wanakwenda [00:45.43] Oh, basi jilegeze [00:48.77] [00:50.86] Nikubebe mgongoni (iyelewi) [00:52.76] Deka nikudekeze [00:55.98] Nikutunze kama mboni (iyelewi) [00:57.38] Wakija uwapoteze [00:58.86] Jifanye kama huwaoni (iyelewi) [01:02.08] Kisha uniongeze [01:04.56] Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi) [01:06.62] Ooh baby... [01:08.82] Asa dance nikuone (kwa ngwaru) [01:11.65] Wa bami jo (kwa ngwaru) [01:13.45] Ololu Femi (kwa ngwaru) [01:15.19] Oooh baby... [01:17.86] Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) [01:20.59] Wa bami jo (kwa ngwaru) [01:22.82] Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) [01:25.98] Aaagah [01:27.04] Moyo wangu wa muarobaini [01:28.39] Mchungu ukiuziwa [01:30.16] Samehe mara sabini [01:31.94] Huo uzungu sija jaaliwa [01:35.07] Ungependa juu ama chini [01:36.48] Kwenye uvungu uparemiwa [01:39.25] Nikumbatie baridini [01:41.96] Kwenye tundu kama njiwa [01:43.77] Moyo wangu mie wa makuti [01:46.85] Usinijie na kiberiti (hasa wee!) [01:49.77] Penzi likageuka chuki [01:52.33] Nyumba ikawa kibiti (hasa wee!) [01:54.29] Nipatie vya kitandani [01:57.13] Nipe mpaka kwenye kiti (hasa wee!) [01:58.66] Ila asiniingie shetani [02:01.34] Nawe nikaja kukucheati [02:03.58] Oh, basi jilegeze [02:05.43] Nikubebe mgongoni (iyelewi) [02:06.83] Kitandani nikoleze [02:09.24] Kwa miuno ya kingoni (iyelewi) [02:12.20] Kisha nibembeleze [02:14.69] Nirudishe utotoni (iyelewi) [02:16.28] Weka mate niteleze [02:18.52] Kama nyoka pangoni (iyelewi) [02:21.73] Ooh baby... [02:23.92] Asa dance kidogo (kwa ngwaru) [02:26.02] Oh wabanwe choo (kwa ngwaru) [02:28.59] Ololu Femi (kwa ngwaru) [02:30.52] Oooh baby... [02:32.63] Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) [02:35.37] Wa bami jo (kwa ngwaru) [02:37.36] Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) [02:40.22] Aaagah [02:41.52] Unataka kucheza chura na ingali umesimama [02:43.08] Ai inama inama (asa waoneshe) [02:47.50] Ai inama inama (unachezaje) [02:48.81] Ai inama inama [02:51.63] Unataka maji ya kisima na mwoga wa kuchutama [02:55.37] Ai inama inama (ebu waoneshe) [02:56.56] Ai inama inama (unachotaje) [02:58.90] Ai inama inama [03:00.72] Unataka kupiga deki wima umesimama [03:02.08] Ai inama inama (ebu tuoneshe) [03:04.49] Aah, inama inama [03:06.27] Unapiga je [03:08.83] Ai inama inama [03:10.33] Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana [03:11.64] Ai inama inama [03:13.97] Ebu tuonyeshe [03:15.66] Ai inama inama [03:17.70] Unalenga je [03:19.08] Ai inama inama [03:20.44] (Wasafi Record) [03:21.87] Oya, wanangu wa kigogo (ai inama) [03:25.68] [03:29.51] Nipe za Mose Iyobo (ai inama) [03:31.78] Vunja vunja kidogo (ai inama) [03:33.99] Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama) [03:35.52]