Wach Wach

Wach Wach Lyrics

Song Wach Wach
Artist Nyashinski
Album Lucky You
Download Image LRC TXT
[00:03.01] Yeah
[00:05.77] Uh
[00:06.62] Yeah, yeah
[00:09.89] Wach wach
[00:11.13] Wach wach
[00:12.42] Yeah
[00:13.27] Mi ni senior nafaa kuwa deputy
[00:15.29] Pedi wako anajua nina pedigree
[00:17.10] Infact unafaa kuwa unasimama niketi
[00:18.71] Hii gava itasanya hata mamatha vibeti
[00:20.42] Mwizi atakuibia walenje ukidedi
[00:22.22] Mwizi anapunguza jam akidedi
[00:24.10] Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi
[00:25.79] Kua ma-career ni pang'ang'a na deni
[00:27.46] Hakuna mtu anasema ukweli
[00:28.96] Watu wanalipwa mapeni
[00:30.64] Nikiwa mavela naona Makaveli
[00:32.31] Hii ni msomo free ka People Daily
[00:34.17] Umeng'aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore
[00:36.51] Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria
[00:39.03] Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa
[00:40.74] Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form
[00:43.24] Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature
[00:45.81] Msinitry mi najijua
[00:47.45] Risasi haisimamishwagi na kifua
[00:49.28] Kisasi hailipishwagi na ratili
[00:50.93] Na kama customer flani anasumbua
[00:53.36] Mi najijua
[00:54.55] Nimeconfirm (nimeconfirm)
[00:56.29] Mi najijua (mi najijua)
[00:57.92] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[00:59.76] Mi nachafua (mi nachafua)
[01:01.27] Zao ziko down (zao ziko down)
[01:03.15] Si tuko tu up (si tuko tu up)
[01:04.76] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[01:06.60] Mi nachafua (mi nachafua)
[01:07.87] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:10.24] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:12.10] Wach wach ndo vile naskia
[01:13.47] Wach wach ndo vile naskia
[01:15.15] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[01:17.23] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[01:18.90] Wach wach ndo vile naskia
[01:20.35] Wach wach ndo vile naskia
[01:22.71] Okay you see, only what they let you see
[01:25.77] Na hii ni advice si matusi
[01:27.11] Don't fu- up juu ya ganji
[01:28.96] Don't act like you're so holy
[01:30.78] Judgement yako haikuponyi
[01:32.49] Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni
[01:35.57] Mi na-slaughter microphoni
[01:37.50] Go missing, hamnioni
[01:39.13] Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni
[01:42.41] Been polishing skills za mine
[01:44.11] Ni astonishing ka milioni
[01:46.28] Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me
[01:49.50] Yeah, mauraru hatatuja tuna
[01:51.65] Ngata gari yangu inakunywa
[01:53.35] Defence na attack, najichunga
[01:55.15] Guranteed leo baki na kuma
[01:57.05] Ka Mr. Tuna, ah sina tumor
[01:59.28] Plus huna kiuno hadi najiuma
[02:01.12] Umetisha and I'm sure you know
[02:02.92] We itisha mpaka wa-jam
[02:04.63] Na hii beat ni ya my nigga Sam
[02:06.28] Ear drums zako zinakubali
[02:07.93] Pia roho yako inakubali
[02:09.60] Hii flow ina uhodari flani
[02:11.33] Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari
[02:13.93] Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen
[02:15.99] Mi najijua
[02:17.07] Nimeconfirm (nimeconfirm)
[02:18.55] Mi najijua (mi najijua)
[02:20.29] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:22.13] Mi nachafua (mi nachafua)
[02:23.87] Zao ziko down
[02:25.66] Si tuko tu up (si tuko tu up)
[02:26.96] Mitaa zimetii-tii-tii-tii
[02:28.93] Mi nachafua (mi nachafua)
[02:30.35] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:32.54] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:34.40] Wach wach ndo vile naskia
[02:36.06] Wach wach ndo vile naskia
[02:37.47] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
[02:39.51] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach)
[02:41.28] Wach wach ndo vile naskia
[02:42.96] Wach wach ndo vile naskia
[02:45.11] Nimeconfirm
[02:46.73] Mi najijua (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:50.01] Mi nachafua
[02:51.97] Zao ziko down
[02:53.69] Si tuko tu up (mtaa zimetii-tii-tii)
[02:57.09] Mi nachafua
[02:59.29] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
[03:05.82] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii)
[03:10.93]
Wach Wach Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)