[00:03.01] Yeah [00:05.77] Uh [00:06.62] Yeah, yeah [00:09.89] Wach wach [00:11.13] Wach wach [00:12.42] Yeah [00:13.27] Mi ni senior nafaa kuwa deputy [00:15.29] Pedi wako anajua nina pedigree [00:17.10] Infact unafaa kuwa unasimama niketi [00:18.71] Hii gava itasanya hata mamatha vibeti [00:20.42] Mwizi atakuibia walenje ukidedi [00:22.22] Mwizi anapunguza jam akidedi [00:24.10] Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi [00:25.79] Kua ma-career ni pang'ang'a na deni [00:27.46] Hakuna mtu anasema ukweli [00:28.96] Watu wanalipwa mapeni [00:30.64] Nikiwa mavela naona Makaveli [00:32.31] Hii ni msomo free ka People Daily [00:34.17] Umeng'aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore [00:36.51] Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria [00:39.03] Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa [00:40.74] Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form [00:43.24] Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature [00:45.81] Msinitry mi najijua [00:47.45] Risasi haisimamishwagi na kifua [00:49.28] Kisasi hailipishwagi na ratili [00:50.93] Na kama customer flani anasumbua [00:53.36] Mi najijua [00:54.55] Nimeconfirm (nimeconfirm) [00:56.29] Mi najijua (mi najijua) [00:57.92] Mitaa zimetii-tii-tii-tii [00:59.76] Mi nachafua (mi nachafua) [01:01.27] Zao ziko down (zao ziko down) [01:03.15] Si tuko tu up (si tuko tu up) [01:04.76] Mitaa zimetii-tii-tii-tii [01:06.60] Mi nachafua (mi nachafua) [01:07.87] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach) [01:10.24] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach) [01:12.10] Wach wach ndo vile naskia [01:13.47] Wach wach ndo vile naskia [01:15.15] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach) [01:17.23] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach) [01:18.90] Wach wach ndo vile naskia [01:20.35] Wach wach ndo vile naskia [01:22.71] Okay you see, only what they let you see [01:25.77] Na hii ni advice si matusi [01:27.11] Don't fu- up juu ya ganji [01:28.96] Don't act like you're so holy [01:30.78] Judgement yako haikuponyi [01:32.49] Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni [01:35.57] Mi na-slaughter microphoni [01:37.50] Go missing, hamnioni [01:39.13] Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni [01:42.41] Been polishing skills za mine [01:44.11] Ni astonishing ka milioni [01:46.28] Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me [01:49.50] Yeah, mauraru hatatuja tuna [01:51.65] Ngata gari yangu inakunywa [01:53.35] Defence na attack, najichunga [01:55.15] Guranteed leo baki na kuma [01:57.05] Ka Mr. Tuna, ah sina tumor [01:59.28] Plus huna kiuno hadi najiuma [02:01.12] Umetisha and I'm sure you know [02:02.92] We itisha mpaka wa-jam [02:04.63] Na hii beat ni ya my nigga Sam [02:06.28] Ear drums zako zinakubali [02:07.93] Pia roho yako inakubali [02:09.60] Hii flow ina uhodari flani [02:11.33] Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari [02:13.93] Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen [02:15.99] Mi najijua [02:17.07] Nimeconfirm (nimeconfirm) [02:18.55] Mi najijua (mi najijua) [02:20.29] Mitaa zimetii-tii-tii-tii [02:22.13] Mi nachafua (mi nachafua) [02:23.87] Zao ziko down [02:25.66] Si tuko tu up (si tuko tu up) [02:26.96] Mitaa zimetii-tii-tii-tii [02:28.93] Mi nachafua (mi nachafua) [02:30.35] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach) [02:32.54] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach) [02:34.40] Wach wach ndo vile naskia [02:36.06] Wach wach ndo vile naskia [02:37.47] Sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach) [02:39.51] Wach wach (wach wach), wach wach (wach wach) [02:41.28] Wach wach ndo vile naskia [02:42.96] Wach wach ndo vile naskia [02:45.11] Nimeconfirm [02:46.73] Mi najijua (mtaa zimetii-tii-tii) [02:50.01] Mi nachafua [02:51.97] Zao ziko down [02:53.69] Si tuko tu up (mtaa zimetii-tii-tii) [02:57.09] Mi nachafua [02:59.29] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii) [03:05.82] Wach wach, wach wach, wach wach (tii-tii-tii) [03:10.93]