| [00:29.12] | First time when I saw you nilitamani nikueleze |
| [00:34.74] | How I feel that was dream come true |
| [00:41.79] | Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu |
| [00:44.95] | |
| [00:48.85] | Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani |
| [00:59.44] | Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone |
| [01:05.01] | Nioneege imani oh my love (Ooohoo} |
| [01:08.56] | |
| [01:11.09] | Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh |
| [01:20.42] | Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh |
| [01:26.99] | Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza |
| [01:36.28] | |
| [01:40.76] | Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza |
| [01:52.83] | Baylon easy yeah ah |
| [02:01.01] | Chibonge nimekua kibaombao |
| [02:03.42] | Ghafla chui nimekua kinyau nyau |
| [02:05.10] | Mpaka sijui nayosema nimesahau |
| [02:08.37] | Vita ya penzi imekua kama maumau |
| [02:11.76] | Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga |
| [02:14.04] | |
| [02:16.44] | Nakua mbulura masikini omba omba |
| [02:18.61] | Kutwa nazurura kutuliza kidonda |
| [02:21.25] | Maumivu kama yangu anayo Konde Boy |
| [02:23.80] | Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy |
| [02:26.68] | Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia |
| [02:31.96] | Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh |
| [02:42.28] | Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono |
| [02:46.92] | |
| [02:50.25] | Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza |
| [02:52.45] | |
| [03:01.39] | Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza |
| [03:01.61] |