[00:29.12] First time when I saw you nilitamani nikueleze [00:34.74] How I feel that was dream come true [00:41.79] Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu [00:44.95] [00:48.85] Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani [00:59.44] Yani mwenzako napata tabu sina furaha ata tone [01:05.01] Nioneege imani oh my love (Ooohoo} [01:08.56] [01:11.09] Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umeseme no ooh ooh [01:20.42] Macho yanaona kama umejibu yes, moyo unaona kama umesema no oooh [01:26.99] Nonono kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza [01:36.28] [01:40.76] Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza [01:52.83] Baylon easy yeah ah [02:01.01] Chibonge nimekua kibaombao [02:03.42] Ghafla chui nimekua kinyau nyau [02:05.10] Mpaka sijui nayosema nimesahau [02:08.37] Vita ya penzi imekua kama maumau [02:11.76] Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga [02:14.04] [02:16.44] Nakua mbulura masikini omba omba [02:18.61] Kutwa nazurura kutuliza kidonda [02:21.25] Maumivu kama yangu anayo Konde Boy [02:23.80] Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy [02:26.68] Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia [02:31.96] Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no ooh ooh [02:42.28] Macho yanaona kama umejibu yes moyo unaona kama umeseme no no nonono [02:46.92] [02:50.25] Yeah kusema kweli mi inaniumiza inanimaliza na sijamaliza [02:52.45] [03:01.39] Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza [03:01.61]