Nadeka

Nadeka Lyrics

Song Nadeka
Artist Guardian Angel
Album The Journey
Download Image LRC TXT
[00:09.44] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[00:13.00] penda penda ndio maana mi na deka
[00:15.88] Niko mikononi mwake
[00:18.07] Kila kitu Kiko better
[00:19.22] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[00:22.83] penda penda ndio maana mi na deka
[00:25.82] Niko mikononi mwake
[00:27.11] Kila kitu Kiko better
[00:29.29] Ibilisi ananyeta
[00:30.71] Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
[00:34.03] anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
[00:37.17] Inazidi kunyesha
[00:39.05] Ibilisi ananyeta
[00:40.12] Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta
[00:42.92] anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
[00:46.98] Inazidi kunyesha
[00:48.79] Asifuye mvua imemnyea
[00:51.70] Namsifu ju amenitendea,
[00:54.43] Maajabu, maajabu
[00:58.86] Ata wewe ukimkujia
[01:01.16] Najua atakutendea
[01:04.29] Maajabu, maajabu
[01:08.02] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
[01:10.18] Jua likiwaka linawawakia wote
[01:12.88] Wengine janjajanja
[01:14.26] Wengine waaminifu
[01:15.13] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[01:17.73] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
[01:19.94] Jua likiwaka linawawakia wote
[01:22.17] Wengine janjajanja
[01:24.05] Wengine waaminifu
[01:24.99] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[01:27.08] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[01:29.13] penda penda ndio maana mi na deka
[01:33.06] Niko mikononi mwake
[01:34.20] Kila kitu Kiko better
[01:36.07] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[01:39.98] penda penda ndio maana mi na deka
[01:42.71] Niko mikononi mwake
[01:44.07] Kila kitu Kiko better
[01:45.90] Mungu wangu anapenda penda penda
[01:47.95] Na sa ndio maana minadeka deka deka
[01:50.14] Mungu wangu anapenda deka
[01:52.75] Penda deka
[01:53.77] Anani penda nadeka
[01:55.47] Mungu wangu anapenda penda penda
[01:57.74] Na sa ndio maana minadeka deka deka
[01:59.97] Mungu wangu anapenda deka
[02:02.07] Penda deka
[02:03.58] Anani penda nadeka
[02:05.23] Nikimwita anacome through
[02:07.13] Ndo maana namsifu
[02:09.29] Maombi anajibu
[02:11.87] Yeiiy
[02:14.72] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
[02:17.87] Jua likiwaka linawawakia wote
[02:19.83] Wengine janjajanja
[02:21.26] Wengine waaminifu
[02:22.71] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[02:24.77] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
[02:26.94] Jua likiwaka linawawakia wote
[02:29.16] Wengine janjajanja
[02:31.06] Wengine waaminifu
[02:32.01] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
[02:34.19] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[02:37.03] penda penda ndio maana mi na deka
[02:40.02] Niko mikononi mwake
[02:41.97] Kila kitu Kiko better
[02:43.22] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[02:46.83] penda penda ndio maana mi na deka
[02:49.94] Niko mikononi mwake
[02:51.63] Kila kitu Kiko better
[02:54.70]
[03:03.19] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[03:05.99] penda penda ndio maana mi na deka
[03:08.79] Niko mikononi mwake
[03:10.66] Kila kitu Kiko better
[03:12.16] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
[03:15.63] penda penda ndio maana mi na deka
[03:18.94] Niko mikononi mwake
[03:20.04] Kila kitu Kiko better
[03:22.62] End.
[03:23.87]
Nadeka Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)