[00:09.44] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [00:13.00] penda penda ndio maana mi na deka [00:15.88] Niko mikononi mwake [00:18.07] Kila kitu Kiko better [00:19.22] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [00:22.83] penda penda ndio maana mi na deka [00:25.82] Niko mikononi mwake [00:27.11] Kila kitu Kiko better [00:29.29] Ibilisi ananyeta [00:30.71] Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta [00:34.03] anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better [00:37.17] Inazidi kunyesha [00:39.05] Ibilisi ananyeta [00:40.12] Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta [00:42.92] anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better [00:46.98] Inazidi kunyesha [00:48.79] Asifuye mvua imemnyea [00:51.70] Namsifu ju amenitendea, [00:54.43] Maajabu, maajabu [00:58.86] Ata wewe ukimkujia [01:01.16] Najua atakutendea [01:04.29] Maajabu, maajabu [01:08.02] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu [01:10.18] Jua likiwaka linawawakia wote [01:12.88] Wengine janjajanja [01:14.26] Wengine waaminifu [01:15.13] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote [01:17.73] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu [01:19.94] Jua likiwaka linawawakia wote [01:22.17] Wengine janjajanja [01:24.05] Wengine waaminifu [01:24.99] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote [01:27.08] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [01:29.13] penda penda ndio maana mi na deka [01:33.06] Niko mikononi mwake [01:34.20] Kila kitu Kiko better [01:36.07] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [01:39.98] penda penda ndio maana mi na deka [01:42.71] Niko mikononi mwake [01:44.07] Kila kitu Kiko better [01:45.90] Mungu wangu anapenda penda penda [01:47.95] Na sa ndio maana minadeka deka deka [01:50.14] Mungu wangu anapenda deka [01:52.75] Penda deka [01:53.77] Anani penda nadeka [01:55.47] Mungu wangu anapenda penda penda [01:57.74] Na sa ndio maana minadeka deka deka [01:59.97] Mungu wangu anapenda deka [02:02.07] Penda deka [02:03.58] Anani penda nadeka [02:05.23] Nikimwita anacome through [02:07.13] Ndo maana namsifu [02:09.29] Maombi anajibu [02:11.87] Yeiiy [02:14.72] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu [02:17.87] Jua likiwaka linawawakia wote [02:19.83] Wengine janjajanja [02:21.26] Wengine waaminifu [02:22.71] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote [02:24.77] Kuna wenye dhambi, wengine takatifu [02:26.94] Jua likiwaka linawawakia wote [02:29.16] Wengine janjajanja [02:31.06] Wengine waaminifu [02:32.01] Mvua ikinyesha inawanyeshea wote [02:34.19] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [02:37.03] penda penda ndio maana mi na deka [02:40.02] Niko mikononi mwake [02:41.97] Kila kitu Kiko better [02:43.22] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [02:46.83] penda penda ndio maana mi na deka [02:49.94] Niko mikononi mwake [02:51.63] Kila kitu Kiko better [02:54.70] [03:03.19] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [03:05.99] penda penda ndio maana mi na deka [03:08.79] Niko mikononi mwake [03:10.66] Kila kitu Kiko better [03:12.16] Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana [03:15.63] penda penda ndio maana mi na deka [03:18.94] Niko mikononi mwake [03:20.04] Kila kitu Kiko better [03:22.62] End. [03:23.87]