Kabibi

Kabibi Lyrics

Song Kabibi
Artist Sam Mangwana
Album Megamix
Download Image LRC TXT
[00:00.84] Instrunmental
[00:05.83] Mhh
[00:07.59] Kabibi wani
[00:09.99] A haa
[00:11.29] Eh
[00:12.16] Kabibi tu
[00:15.96] Iye Kabibi, Iye Kabibi
[00:17.83] Mtoto wa nyumbani
[00:19.74] Iye Kabibi, mh Kabibi
[00:21.74] Africa kuna mambo
[00:23.22] Iye Kabibi, Iye Kabibi
[00:25.27] Mtoto wa nyumbani
[00:27.08] Iye Kabibi, mh Kabibi
[00:29.20] Africa kuna mambo
[00:31.54] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
[00:35.10] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
[00:39.07] Mwanamke mzuri kama malaika
[00:42.36] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
[00:46.07] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
[00:49.37] Akasema anatoka Afrika mashariki
[00:52.63] Nyumbani kwao "Tanga"
[00:55.30] Mmhhm, usiniumize Kabibi
[00:59.53] Wewe nakupenda Kabibi
[01:03.70] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
[01:08.12] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
[01:12.13] Mwanamke mzuri kama malaika
[01:15.24] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
[01:18.94] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
[01:22.21] Akasema anatoka Afrika mashariki
[01:25.96] Nyumbani kwao "Zanzibar"
[01:29.48] Usiniumize Kabibi
[01:33.26] Usiniangushe Kabibi
[01:36.59] Anania wangu huko tare
[01:40.17] Hii adhabu niliyopata
[01:43.65] Kamanga wangu manzese - Ahh Kabibi
[02:03.38] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
[02:06.84] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
[02:10.63] Mwanamke mzuri kama malaika
[02:13.62] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
[02:17.88] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
[02:21.47] Akasema anatoka Afrika mashariki
[02:24.34] Nyumbani kwao "Mombasa"
[02:27.96] Usiniumize Kabibi
[02:31.35] Nakupenda Kabibi
[02:34.94] Anania wangu huko tare
[02:38.80] Hii adhabu niliyopata
[03:55.16] Iye Kabibi Iye Kabibi ehh
[03:57.51] Mtoto wa nyumbani
[03:59.17] Iye Kabibi Wewe Kabibi ehh
[04:01.53] Afrika kuna mambo
[04:02.98] Usiniangushe Kabibi Ehh
[04:04.91] Mtoto wa nyumbani
[04:06.54] Nimekuzoea Kabibi
[04:08.42] Africa kuna mambo
[04:10.11] Iye Kabibi yenuria
[04:12.46] Mtoto wa nyumbani
[04:13.76] We Kabibi nakupenda
[04:15.95] Afrika kuna mambo
[04:17.21] Ehh mama
[04:20.17] Africa kuna mambo
[04:24.12] Mtoto wa nyumbani
[04:25.60] Ehh mama
[04:28.33] Africa kuna mambo
[04:39.82] Iye Kabibi Iye Kabibi
[04:41.47] Mtoto wa nyumbani
[04:43.39] Wewe Kabibi nakupenda
[04:45.40] Africa kuna mambo
[04:46.41] Nimeshakuzoea Kabibi
[04:48.92] Africa kuna mambo
[04:51.22] Usiniangushe Kabibi eh
[04:52.90] Africa kuna mambo
[04:54.19] Ooh Kabibi
[04:56.26] Mtoto wa nyumbani
[04:57.96] Mtoto wa Afrika Mashariki eh
[05:00.74] Ehh mama Afrika kuna mambo
[05:09.81] Kabibi
[05:13.47] Wewe Kabibi eh
[05:15.31] Nakupenda
[05:16.92] Nakupenda Kabibi eh
[05:19.34] Kabibi
[05:20.84] Mama musa huko kaloleni eh
[05:22.81] Tafadhali
[05:24.15] Huyu nampenda sana miriamu
[05:26.68] Uzuri kama malaika
[05:30.73] Nakupenda
[05:31.66] Mama Roza kaloleni
[05:33.95] Kabibi
[05:35.39] Nampenda sana Huyu Mariamu
[05:37.82] Tafadhali
[05:38.96] Kasuya wangu huko Kenya
[05:41.37] Kabibi
[05:42.55] Angalia tabu niliyopata kasuya
[05:45.26] Nakupenda
[05:46.10] Kabibi
[05:48.57] Kabibi
[05:50.23] Mmhhm Kabibi
[05:52.00] Tafadhali
[05:53.67] Oh yeah Kabibi
[05:55.65] Kabibi
[05:57.22] O yee Kabibi
[05:59.10]
Kabibi Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)