[00:00.84] Instrunmental [00:05.83] Mhh [00:07.59] Kabibi wani [00:09.99] A haa [00:11.29] Eh [00:12.16] Kabibi tu [00:15.96] Iye Kabibi, Iye Kabibi [00:17.83] Mtoto wa nyumbani [00:19.74] Iye Kabibi, mh Kabibi [00:21.74] Africa kuna mambo [00:23.22] Iye Kabibi, Iye Kabibi [00:25.27] Mtoto wa nyumbani [00:27.08] Iye Kabibi, mh Kabibi [00:29.20] Africa kuna mambo [00:31.54] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia [00:35.10] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu [00:39.07] Mwanamke mzuri kama malaika [00:42.36] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh [00:46.07] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh [00:49.37] Akasema anatoka Afrika mashariki [00:52.63] Nyumbani kwao "Tanga" [00:55.30] Mmhhm, usiniumize Kabibi [00:59.53] Wewe nakupenda Kabibi [01:03.70] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia [01:08.12] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu [01:12.13] Mwanamke mzuri kama malaika [01:15.24] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh [01:18.94] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh [01:22.21] Akasema anatoka Afrika mashariki [01:25.96] Nyumbani kwao "Zanzibar" [01:29.48] Usiniumize Kabibi [01:33.26] Usiniangushe Kabibi [01:36.59] Anania wangu huko tare [01:40.17] Hii adhabu niliyopata [01:43.65] Kamanga wangu manzese - Ahh Kabibi [02:03.38] Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia [02:06.84] Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu [02:10.63] Mwanamke mzuri kama malaika [02:13.62] Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh [02:17.88] Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh [02:21.47] Akasema anatoka Afrika mashariki [02:24.34] Nyumbani kwao "Mombasa" [02:27.96] Usiniumize Kabibi [02:31.35] Nakupenda Kabibi [02:34.94] Anania wangu huko tare [02:38.80] Hii adhabu niliyopata [03:55.16] Iye Kabibi Iye Kabibi ehh [03:57.51] Mtoto wa nyumbani [03:59.17] Iye Kabibi Wewe Kabibi ehh [04:01.53] Afrika kuna mambo [04:02.98] Usiniangushe Kabibi Ehh [04:04.91] Mtoto wa nyumbani [04:06.54] Nimekuzoea Kabibi [04:08.42] Africa kuna mambo [04:10.11] Iye Kabibi yenuria [04:12.46] Mtoto wa nyumbani [04:13.76] We Kabibi nakupenda [04:15.95] Afrika kuna mambo [04:17.21] Ehh mama [04:20.17] Africa kuna mambo [04:24.12] Mtoto wa nyumbani [04:25.60] Ehh mama [04:28.33] Africa kuna mambo [04:39.82] Iye Kabibi Iye Kabibi [04:41.47] Mtoto wa nyumbani [04:43.39] Wewe Kabibi nakupenda [04:45.40] Africa kuna mambo [04:46.41] Nimeshakuzoea Kabibi [04:48.92] Africa kuna mambo [04:51.22] Usiniangushe Kabibi eh [04:52.90] Africa kuna mambo [04:54.19] Ooh Kabibi [04:56.26] Mtoto wa nyumbani [04:57.96] Mtoto wa Afrika Mashariki eh [05:00.74] Ehh mama Afrika kuna mambo [05:09.81] Kabibi [05:13.47] Wewe Kabibi eh [05:15.31] Nakupenda [05:16.92] Nakupenda Kabibi eh [05:19.34] Kabibi [05:20.84] Mama musa huko kaloleni eh [05:22.81] Tafadhali [05:24.15] Huyu nampenda sana miriamu [05:26.68] Uzuri kama malaika [05:30.73] Nakupenda [05:31.66] Mama Roza kaloleni [05:33.95] Kabibi [05:35.39] Nampenda sana Huyu Mariamu [05:37.82] Tafadhali [05:38.96] Kasuya wangu huko Kenya [05:41.37] Kabibi [05:42.55] Angalia tabu niliyopata kasuya [05:45.26] Nakupenda [05:46.10] Kabibi [05:48.57] Kabibi [05:50.23] Mmhhm Kabibi [05:52.00] Tafadhali [05:53.67] Oh yeah Kabibi [05:55.65] Kabibi [05:57.22] O yee Kabibi [05:59.10]