Mhudumu

Mhudumu Lyrics

Song Mhudumu
Artist Aslay
Album Mhudumu
Download Image LRC TXT
[00:22.02] Naamini we ni wangu mke wangu
[00:27.07] Nimemiss kukuona kwangu kipenzi changu
[00:30.01] Nitaficha wapi sura yangu
[00:32.03] Kwa walimwengu
[00:34.02] We ndo msiri wangu kipenzi changu Maiyo
[00:39.03] Chaguo langu ni wewe si unajua mamaa
[00:42.01] Ukiniacha mwenyewe utaniumbua sanaa
[00:46.04] Tulipotoka ni mbali si unajua mama eh
[00:51.08] Katikati ya safari utaja niua bwanaa
[00:55.00] Wewe na mimi baby tuzikwe wote
[01:00.08] Nife uniokote nikuokote
[01:05.08] Sasa kwa nini unaruhusu nichekwe
[01:09.05] Mkono kaunyea mtoto usiukate
[01:13.04] Samahani Waiter ongeza glass
[01:17.09] Eh muhudumu ongeza glass
[01:21.04] Mmhh Samahani Waiter ongeza glass
[01:26.01] Eh muhudumu ongeza glass
[01:31.09] Acha nilewe nilewe tuu
[01:35.05] Eh nilewe nilewe tu
[01:40.02] Acha nilewe nilewe tu
[01:44.02] Nilewe nilewe tuu
[01:50.04] Nimekuwa mchafu tangu uniache wewe
[02:12.08] Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe
[02:17.04] Wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe
[02:21.08] Fanya urudi baby nitakufa bure
[02:27.04] Kosa gani lisilo sameheka baby
[02:31.04] Niamini nimejirekebisha baby
[02:36.09] Jirani mama shani anavyokukumbuka baby
[02:40.09] Rudi nyumbani mumeo ninakuita baby
[02:45.05] Wewe na mimi baby tuzikwe wote
[02:50.04] Nife uniokote nikuokote
[02:55.01] Sasa kwanini unaruhusu nichekwe
[02:59.03] Mkono kaunyea mtoto usiukate
[03:03.06] Samahani Waiter ongeza glass
[03:07.05] Eh muhudumu ongeza glass
[03:11.05] Samahani Waiter ongeza glass
[03:16.00] Eh muhudumu ongeza glass
[03:20.06] Acha nilewe nilewe tuu
[03:25.00] Eh nilewe nilewe tu
[03:30.09] Acha nilewe nilewe tu
[03:34.06] Nilewe nilewe tuu
[03:44.08] Eh nilewe nilewe tu
[03:48.07] Acha nilewe nilewe tu
[03:53.02] Nilewe nilewe tuu
[03:58.02]
Mhudumu Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)