[00:22.02] Naamini we ni wangu mke wangu [00:27.07] Nimemiss kukuona kwangu kipenzi changu [00:30.01] Nitaficha wapi sura yangu [00:32.03] Kwa walimwengu [00:34.02] We ndo msiri wangu kipenzi changu Maiyo [00:39.03] Chaguo langu ni wewe si unajua mamaa [00:42.01] Ukiniacha mwenyewe utaniumbua sanaa [00:46.04] Tulipotoka ni mbali si unajua mama eh [00:51.08] Katikati ya safari utaja niua bwanaa [00:55.00] Wewe na mimi baby tuzikwe wote [01:00.08] Nife uniokote nikuokote [01:05.08] Sasa kwa nini unaruhusu nichekwe [01:09.05] Mkono kaunyea mtoto usiukate [01:13.04] Samahani Waiter ongeza glass [01:17.09] Eh muhudumu ongeza glass [01:21.04] Mmhh Samahani Waiter ongeza glass [01:26.01] Eh muhudumu ongeza glass [01:31.09] Acha nilewe nilewe tuu [01:35.05] Eh nilewe nilewe tu [01:40.02] Acha nilewe nilewe tu [01:44.02] Nilewe nilewe tuu [01:50.04] Nimekuwa mchafu tangu uniache wewe [02:12.08] Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe [02:17.04] Wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe [02:21.08] Fanya urudi baby nitakufa bure [02:27.04] Kosa gani lisilo sameheka baby [02:31.04] Niamini nimejirekebisha baby [02:36.09] Jirani mama shani anavyokukumbuka baby [02:40.09] Rudi nyumbani mumeo ninakuita baby [02:45.05] Wewe na mimi baby tuzikwe wote [02:50.04] Nife uniokote nikuokote [02:55.01] Sasa kwanini unaruhusu nichekwe [02:59.03] Mkono kaunyea mtoto usiukate [03:03.06] Samahani Waiter ongeza glass [03:07.05] Eh muhudumu ongeza glass [03:11.05] Samahani Waiter ongeza glass [03:16.00] Eh muhudumu ongeza glass [03:20.06] Acha nilewe nilewe tuu [03:25.00] Eh nilewe nilewe tu [03:30.09] Acha nilewe nilewe tu [03:34.06] Nilewe nilewe tuu [03:44.08] Eh nilewe nilewe tu [03:48.07] Acha nilewe nilewe tu [03:53.02] Nilewe nilewe tuu [03:58.02]