Bembea

Bembea Lyrics

Song Bembea
Artist Aslay
Artist Alikiba
Album Bembea
Download Image LRC TXT
[00:02.23] Yooh
[00:05.15] Yop
[00:07.25]
[00:15.65] Na na na na na naa naaah
[00:20.63]
[00:23.62] Oh oh ooh
[00:25.25] It's new Aloneym
[00:27.18] Wapi unawaumizaga niambie tuwakomeshe
[00:31.34] Tuwakomeshe vishada wavimbe wateseke
[00:36.77] We nipende tu nipe na nyota nitembelee
[00:42.05] Wachawi vigagula baby tushikane tuwakemee
[00:47.50] We ni dokta mi mgonjwa ndomaana nikikuona mwenzako ninapona
[00:54.32] Umenijaa akilini ndomaana nakutaja mwenzako kila ngoma
[00:59.46] Baby tuifiche hiyo siri
[01:02.98] Tusionyeshe dhahiri
[01:05.86] Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga
[01:10.67] Wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli
[01:16.00] Aah natakata takata natakata na penzi lako
[01:23.92]
[01:27.37] Na nitadata nitadata ukininyima hicho ulichokuwanacho
[01:31.53] Naridhika ridhika naridhika na huba lako
[01:36.81] Nakuahidi nitakufa nikija kulikosa hilo penzi lako
[01:41.67] Bembea mahabuba bembea oooh
[01:45.86] Bembea nakuruhusu ning'inia kwenye moyo wangu
[01:52.33] Bembea laazizi bembea ooh ooh ooh
[01:57.61] Bembea mwenzako nasikia raha sana
[02:03.05] Nasi tunazima data
[02:04.31] Simu zao tunakata
[02:07.38] Tugandane kama mapacha wawili wawili wakeleke kamili
[02:11.01] Yooh
[02:12.96] Ulivyomtamu raha tele sukari usiongeze
[02:18.09] Ujuzi unao uzuri unao nashiba mahaba nilegeze eh
[02:22.59] Aaah ukinigusa unasisimua
[02:26.88] Mjanja bingwa wakusasambua
[02:29.50] Umeniweza mtoto wakishua
[02:32.13] Shida zangu zote unatatua
[02:35.31] Ndio maana nakupenda palipoufa tujenge
[02:39.62] Usisikize wapambe we, we nipende nikupende
[02:45.28] Na ndio maana nakupenda
[02:47.61] Baby tuifiche hiyo siri
[02:49.55] Tusionyeshe dhahiri
[02:52.45] Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga
[02:57.55] Hey wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli
[03:03.16] Wambea wanasubiri wapate chakusemaga
[03:06.98] Bembea bembea unawamaliza
[03:12.03] Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna
[03:17.33] Bembea bembea unawamaliza
[03:22.93] Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna
[03:28.08] Na na le le wale
[03:32.33] Oh ooh yei yeeih
[03:34.71] Oooh ooh
[03:37.42] Ooh oh
[03:38.94]
Bembea Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)