[00:02.23] Yooh [00:05.15] Yop [00:07.25] [00:15.65] Na na na na na naa naaah [00:20.63] [00:23.62] Oh oh ooh [00:25.25] It's new Aloneym [00:27.18] Wapi unawaumizaga niambie tuwakomeshe [00:31.34] Tuwakomeshe vishada wavimbe wateseke [00:36.77] We nipende tu nipe na nyota nitembelee [00:42.05] Wachawi vigagula baby tushikane tuwakemee [00:47.50] We ni dokta mi mgonjwa ndomaana nikikuona mwenzako ninapona [00:54.32] Umenijaa akilini ndomaana nakutaja mwenzako kila ngoma [00:59.46] Baby tuifiche hiyo siri [01:02.98] Tusionyeshe dhahiri [01:05.86] Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga [01:10.67] Wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli [01:16.00] Aah natakata takata natakata na penzi lako [01:23.92] [01:27.37] Na nitadata nitadata ukininyima hicho ulichokuwanacho [01:31.53] Naridhika ridhika naridhika na huba lako [01:36.81] Nakuahidi nitakufa nikija kulikosa hilo penzi lako [01:41.67] Bembea mahabuba bembea oooh [01:45.86] Bembea nakuruhusu ning'inia kwenye moyo wangu [01:52.33] Bembea laazizi bembea ooh ooh ooh [01:57.61] Bembea mwenzako nasikia raha sana [02:03.05] Nasi tunazima data [02:04.31] Simu zao tunakata [02:07.38] Tugandane kama mapacha wawili wawili wakeleke kamili [02:11.01] Yooh [02:12.96] Ulivyomtamu raha tele sukari usiongeze [02:18.09] Ujuzi unao uzuri unao nashiba mahaba nilegeze eh [02:22.59] Aaah ukinigusa unasisimua [02:26.88] Mjanja bingwa wakusasambua [02:29.50] Umeniweza mtoto wakishua [02:32.13] Shida zangu zote unatatua [02:35.31] Ndio maana nakupenda palipoufa tujenge [02:39.62] Usisikize wapambe we, we nipende nikupende [02:45.28] Na ndio maana nakupenda [02:47.61] Baby tuifiche hiyo siri [02:49.55] Tusionyeshe dhahiri [02:52.45] Wanga wanasubiri waone utavyonimwaga [02:57.55] Hey wambili awe mbili wakwanza tuwe wakweli [03:03.16] Wambea wanasubiri wapate chakusemaga [03:06.98] Bembea bembea unawamaliza [03:12.03] Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna [03:17.33] Bembea bembea unawamaliza [03:22.93] Bembea wakose chakusemaga kula kutafuna [03:28.08] Na na le le wale [03:32.33] Oh ooh yei yeeih [03:34.71] Oooh ooh [03:37.42] Ooh oh [03:38.94]