| [00:05.12] | Natamba, Natamba Aaa |
| [00:19.85] | Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako |
| [00:24.20] | Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako |
| [00:28.50] | Sura yako ya upole, inanivutia |
| [00:34.11] | Shepu Twiga mwenda pole, najivunia |
| [00:38.52] | Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee) |
| [00:41.23] | Nakama namba waisome(Eeee) |
| [00:43.99] | Hata tukigombana wasione(Eeee) |
| [00:46.28] | Washike jembe wakalime(Eeee) |
| [00:48.67] | Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana |
| [00:53.35] | Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana |
| [00:58.60] | Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu |
| [01:08.83] | Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto |
| [01:13.14] | Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael |
| [01:17.86] | Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko |
| [01:22.39] | We ndio wangu wa milele |
| [01:25.45] | |
| [01:29.08] | Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe |
| [01:34.20] | Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe |
| [01:38.89] | Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana |
| [01:43.46] | Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama |
| [01:48.34] | Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana |
| [01:53.39] | Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema |
| [01:58.09] | Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingereza |
| [02:02.93] | Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani |
| [02:07.30] | Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza |
| [02:12.56] | Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali |
| [02:15.89] | Basi baby nikumbatie mama |
| [02:18.57] | Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu |
| [02:22.59] | Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto |
| [02:27.15] | Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael |
| [02:31.10] | Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko |
| [02:36.41] | We ndio wangu wa milele, milelee |
| [02:37.95] |