[00:05.12] Natamba, Natamba Aaa [00:19.85] Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako [00:24.20] Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako [00:28.50] Sura yako ya upole, inanivutia [00:34.11] Shepu Twiga mwenda pole, najivunia [00:38.52] Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee) [00:41.23] Nakama namba waisome(Eeee) [00:43.99] Hata tukigombana wasione(Eeee) [00:46.28] Washike jembe wakalime(Eeee) [00:48.67] Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana [00:53.35] Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana [00:58.60] Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu [01:08.83] Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto [01:13.14] Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael [01:17.86] Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko [01:22.39] We ndio wangu wa milele [01:25.45] [01:29.08] Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe [01:34.20] Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe [01:38.89] Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana [01:43.46] Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama [01:48.34] Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana [01:53.39] Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema [01:58.09] Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingereza [02:02.93] Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani [02:07.30] Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza [02:12.56] Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali [02:15.89] Basi baby nikumbatie mama [02:18.57] Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu [02:22.59] Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto [02:27.15] Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael [02:31.10] Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko [02:36.41] We ndio wangu wa milele, milelee [02:37.95]