Salome

Salome Lyrics

Song Salome
Artist Diamond Platnumz
Artist Rayvanny
Album My Number 1
Download Image LRC TXT
[00:10.82] Kioo hakidanganyi mama
[00:13.98] Umejipodoa umepodoka
[00:16.07] Mwendo na shepu, vyote mwanana
[00:18.59] Mimi suruali yanidondoka
[00:20.51] Tukimbizane nini Salome wangu?
[00:23.20] Iyo michezo ya jogoo
[00:25.12] Mbona watizama chini salome wangu
[00:27.50] Ukimuona jongoo
[00:29.67] Inama kidogo, shika magoti
[00:32.43] Mimi nimesimama kama ngongoti
[00:34.63] Mtoto jojo, sio roboti
[00:36.86] Chumbani bingili bingili somersault
[00:38.90] Unanitekenyaga ukinyonga salome
[00:41.01] Unanitekenyaga ukinyonga
[00:42.34] Unatikenyaga ukinyonga kweli
[00:45.20] Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
[00:47.64] Hoera makulu vane, hoera ngambe
[00:53.42] Hoera na Zari, hoera ngambe
[00:57.88] Utamu kolea aprookoto
[00:59.51] Ting'ali ting'ali ndani kwa moto
[01:01.33] Nitamnyongea, msokoto
[01:04.13] Niteme sumu kali kama kobokoo
[01:06.53] Eeeh Mapenzi yananipa shida
[01:09.92] Shida maama, ni donda lisilokuwa na tiba
[01:14.45] Tiba bwana, usije baby kanicharanga
[01:18.28] Kanichambua moyo kama karanga
[01:20.81] Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda
[01:24.08] Ngenge ni nganganga
[01:25.78] Unanitekenyaga ukinyonga salome
[01:27.65] Unanitekenyaga ukinyonga
[01:29.85] Unatikenyaga ukinyonga kweli
[01:32.40] Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
[01:34.64] Hoera makulu vane, hoera ngambe
[01:40.01] Hoera na Zari, hoera ngambe
[01:44.80] Mie mwenzako nyang'anyang'a
[01:48.85] Mie binzari we ndo nyanya
[01:53.43] Baby kwangwaru
[01:55.13] Isimamie kama kangaroo
[01:57.94] Ibane kangwaru
[01:59.78] Babu Juma mpige kwakwaru
[02:01.85] Kwakwaru kwakwa
[02:03.29] Chambua kama karanga sasa
[02:05.25] Chambua kama karanga
[02:07.74] Ichambue kama karanga Salome
[02:09.10] Chambua kama karanga
[02:11.99] I say washa washa moto washa
[02:15.25] Songa songa ugali songa songa
[02:21.24] Mpaka chini mpaka chini
[02:23.32] Wenye wivu wajinyonge leo
[02:28.74] Wanye wivu wajiinyonge
[02:31.17] Wenye wivu wajinyonge Salome
[02:33.16] Wenye wivu wajinyonge
[02:34.85] Wenye wivu wajinyonge kweli
[02:38.00] Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo)
[02:47.86] (Wale kodo)
[02:52.50] Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
[03:03.80] Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
[03:29.96]
Salome Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)