[00:10.82] Kioo hakidanganyi mama [00:13.98] Umejipodoa umepodoka [00:16.07] Mwendo na shepu, vyote mwanana [00:18.59] Mimi suruali yanidondoka [00:20.51] Tukimbizane nini Salome wangu? [00:23.20] Iyo michezo ya jogoo [00:25.12] Mbona watizama chini salome wangu [00:27.50] Ukimuona jongoo [00:29.67] Inama kidogo, shika magoti [00:32.43] Mimi nimesimama kama ngongoti [00:34.63] Mtoto jojo, sio roboti [00:36.86] Chumbani bingili bingili somersault [00:38.90] Unanitekenyaga ukinyonga salome [00:41.01] Unanitekenyaga ukinyonga [00:42.34] Unatikenyaga ukinyonga kweli [00:45.20] Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! [00:47.64] Hoera makulu vane, hoera ngambe [00:53.42] Hoera na Zari, hoera ngambe [00:57.88] Utamu kolea aprookoto [00:59.51] Ting'ali ting'ali ndani kwa moto [01:01.33] Nitamnyongea, msokoto [01:04.13] Niteme sumu kali kama kobokoo [01:06.53] Eeeh Mapenzi yananipa shida [01:09.92] Shida maama, ni donda lisilokuwa na tiba [01:14.45] Tiba bwana, usije baby kanicharanga [01:18.28] Kanichambua moyo kama karanga [01:20.81] Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda [01:24.08] Ngenge ni nganganga [01:25.78] Unanitekenyaga ukinyonga salome [01:27.65] Unanitekenyaga ukinyonga [01:29.85] Unatikenyaga ukinyonga kweli [01:32.40] Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! [01:34.64] Hoera makulu vane, hoera ngambe [01:40.01] Hoera na Zari, hoera ngambe [01:44.80] Mie mwenzako nyang'anyang'a [01:48.85] Mie binzari we ndo nyanya [01:53.43] Baby kwangwaru [01:55.13] Isimamie kama kangaroo [01:57.94] Ibane kangwaru [01:59.78] Babu Juma mpige kwakwaru [02:01.85] Kwakwaru kwakwa [02:03.29] Chambua kama karanga sasa [02:05.25] Chambua kama karanga [02:07.74] Ichambue kama karanga Salome [02:09.10] Chambua kama karanga [02:11.99] I say washa washa moto washa [02:15.25] Songa songa ugali songa songa [02:21.24] Mpaka chini mpaka chini [02:23.32] Wenye wivu wajinyonge leo [02:28.74] Wanye wivu wajiinyonge [02:31.17] Wenye wivu wajinyonge Salome [02:33.16] Wenye wivu wajinyonge [02:34.85] Wenye wivu wajinyonge kweli [02:38.00] Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) [02:47.86] (Wale kodo) [02:52.50] Ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa) [03:03.80] Ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa) [03:29.96]