Aminia

Aminia Lyrics

Song Aminia
Artist Nyashinski
Album Aminia
Download Image LRC TXT
[00:01.00] Yeh!
[00:02.00] Niko hapa kuwapa muziki mzuri
[00:03.27] Wako hapa tu kuwa famous
[00:05.11] Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
[00:07.19] Wanajiita lyricists kwa hizi interviews
[00:10.00] Na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views, how?
[00:13.21] Nyashinski Yeah
[00:17.03] Yeah Cedo
[00:23.06] Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya
[00:25.20] Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
[00:28.07] Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
[00:30.24] Secular lakini unaandika gospel fire
[00:33.20] Si-live a lie
[00:34.19] Najua nta-sound kama niko ma drei
[00:36.17] But juzi walai
[00:37.19] Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
[00:40.05] Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
[00:42.21] True story!
[00:44.11] Klepto si mtarudiana lakini
[00:46.17] Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
[00:49.00] Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili
[00:51.11] Tutazidi sana kando na kukosana niamini
[00:54.12] Tusipimane akili mi 'na kichaa
[00:56.08] Waambie waache kujichokesha ulimi
[00:58.00] Mi ndo teacher
[00:59.00] Enyewe manze wataacha lini kujichocha
[01:01.00] Juu ni clear, tukisimama hao na mimi mi ndio mnaprefer
[01:04.14] Aminia
[01:05.00] Oh, na-na-na-na-na
[01:07.02] Aminia
[01:07.20] Oh, na-na-na-na-na, eh
[01:09.20] Aminia
[01:10.10] Oh, na-na-na-na-na, eh
[01:12.08] Aminia
[01:13.00] Oh, na-na-na-na-na, eh
[01:14.24] Aminia
[01:15.12] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[01:17.10] Aminia
[01:18.00] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[01:19.29] Aminia
[01:20.21] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[01:22.17] Aminia
[01:24.18] Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
[01:27.21] Au nikitoka niachange kwa keja tu
[01:30.10] Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
[01:32.27] Kila converstation ni ka Deja Vu
[01:35.17] Maisha imejaa na watu fake si uongo
[01:38.04] Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo
[01:40.20] Washa sense ntakafunga so wananyemelea
[01:43.04] Siezi afford kumwaga unga najitegemea
[01:46.14] Sieki imani kwa binadamu mimi
[01:49.00] Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
[01:51.17] Ah, ka s'kupendi s'kufichi
[01:53.21] No pretending hata simu zenu mi sishiki
[01:56.04] N'kuwe pissed kwa nini
[01:57.14] Siko pissed, niamini mi niko bien
[01:59.21] Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
[02:02.05] Maybe tu argue beats au beer
[02:03.20] Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi
[02:06.24] Aminia
[02:07.07] Oh, na-na-na-na-na
[02:09.04] Aminia
[02:09.20] Oh, na-na-na-na-na, eh
[02:11.24] Aminia
[02:12.09] Oh, na-na-na-na-na, eh
[02:14.08] Aminia
[02:14.25] Oh, na-na-na-na-na, eh
[02:16.28] Aminia
[02:17.13] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[02:19.16] Aminia
[02:20.05] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[02:22.00] Aminia
[02:22.18] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[02:24.17] Aminia
[02:25.20] Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
[02:29.16] Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
[02:32.14] Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
[02:35.01] Nikianza hii kitu ni watu wa few waliamini
[02:37.20] Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
[02:40.06] Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
[02:42.27] Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
[02:45.21] Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
[02:48.07] Hii ni ya kila mtu nishauliza ka anapenda rap
[02:50.10] Akaniambia ako 50-50, yeah
[02:52.28] Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki
[02:55.20] But, ameambiwa ati mziki hailipi
[02:58.06] Kukopa juu ni passion basi kazi hata
[03:00.23] Ka we ni rapper ati juu ni fashion hatukutaki hapa
[03:03.09] Hii ni ya msanii hulalanga nje na guitar anaimba for free, saa hii
[03:06.05] Na ataendelea hata ka anajua ata hajalipwa
[03:08.16] Yeah!
[03:09.04] Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
[03:11.18] Siku moja joh niwewe wataita King
[03:14.07] Jione umepanda stage na umeshika
[03:16.20] Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia
[03:19.20] S'choki, s'choki, s'choki
[03:22.02] Style mingi kushinda menu ya kinyozi (Aminia)
[03:24.19] Naeza fly wengine hawatoshi
[03:27.12] (Aminia)
[03:29.27] Aminia, aminia, aminia
[03:32.01] (Aminia)
[03:32.13] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[03:34.11] Aminia
[03:35.03] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
[03:37.02] Aminia
[03:38.03] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia
[03:39.19] Aminia
Aminia Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)