[00:01.00] Yeh! [00:02.00] Niko hapa kuwapa muziki mzuri [00:03.27] Wako hapa tu kuwa famous [00:05.11] Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas' [00:07.19] Wanajiita lyricists kwa hizi interviews [00:10.00] Na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views, how? [00:13.21] Nyashinski Yeah [00:17.03] Yeah Cedo [00:23.06] Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya [00:25.20] Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya [00:28.07] Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire [00:30.24] Secular lakini unaandika gospel fire [00:33.20] Si-live a lie [00:34.19] Najua nta-sound kama niko ma drei [00:36.17] But juzi walai [00:37.19] Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai [00:40.05] Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai [00:42.21] True story! [00:44.11] Klepto si mtarudiana lakini [00:46.17] Hatujai achana tunaruadiana kwa nini [00:49.00] Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili [00:51.11] Tutazidi sana kando na kukosana niamini [00:54.12] Tusipimane akili mi 'na kichaa [00:56.08] Waambie waache kujichokesha ulimi [00:58.00] Mi ndo teacher [00:59.00] Enyewe manze wataacha lini kujichocha [01:01.00] Juu ni clear, tukisimama hao na mimi mi ndio mnaprefer [01:04.14] Aminia [01:05.00] Oh, na-na-na-na-na [01:07.02] Aminia [01:07.20] Oh, na-na-na-na-na, eh [01:09.20] Aminia [01:10.10] Oh, na-na-na-na-na, eh [01:12.08] Aminia [01:13.00] Oh, na-na-na-na-na, eh [01:14.24] Aminia [01:15.12] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [01:17.10] Aminia [01:18.00] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [01:19.29] Aminia [01:20.21] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [01:22.17] Aminia [01:24.18] Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu [01:27.21] Au nikitoka niachange kwa keja tu [01:30.10] Najua ikilia ni mtu anataka favour tu [01:32.27] Kila converstation ni ka Deja Vu [01:35.17] Maisha imejaa na watu fake si uongo [01:38.04] Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo [01:40.20] Washa sense ntakafunga so wananyemelea [01:43.04] Siezi afford kumwaga unga najitegemea [01:46.14] Sieki imani kwa binadamu mimi [01:49.00] Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi [01:51.17] Ah, ka s'kupendi s'kufichi [01:53.21] No pretending hata simu zenu mi sishiki [01:56.04] N'kuwe pissed kwa nini [01:57.14] Siko pissed, niamini mi niko bien [01:59.21] Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia [02:02.05] Maybe tu argue beats au beer [02:03.20] Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi [02:06.24] Aminia [02:07.07] Oh, na-na-na-na-na [02:09.04] Aminia [02:09.20] Oh, na-na-na-na-na, eh [02:11.24] Aminia [02:12.09] Oh, na-na-na-na-na, eh [02:14.08] Aminia [02:14.25] Oh, na-na-na-na-na, eh [02:16.28] Aminia [02:17.13] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [02:19.16] Aminia [02:20.05] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [02:22.00] Aminia [02:22.18] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [02:24.17] Aminia [02:25.20] Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza [02:29.16] Sijieki na Don Larry ama Martin Luther [02:32.14] Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi [02:35.01] Nikianza hii kitu ni watu wa few waliamini [02:37.20] Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake [02:40.06] Kwa jamaa zake na nyumbani mwake [02:42.27] Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake [02:45.21] Kwa jamaa zake na nyumbani mwake [02:48.07] Hii ni ya kila mtu nishauliza ka anapenda rap [02:50.10] Akaniambia ako 50-50, yeah [02:52.28] Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki [02:55.20] But, ameambiwa ati mziki hailipi [02:58.06] Kukopa juu ni passion basi kazi hata [03:00.23] Ka we ni rapper ati juu ni fashion hatukutaki hapa [03:03.09] Hii ni ya msanii hulalanga nje na guitar anaimba for free, saa hii [03:06.05] Na ataendelea hata ka anajua ata hajalipwa [03:08.16] Yeah! [03:09.04] Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream [03:11.18] Siku moja joh niwewe wataita King [03:14.07] Jione umepanda stage na umeshika [03:16.20] Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia [03:19.20] S'choki, s'choki, s'choki [03:22.02] Style mingi kushinda menu ya kinyozi (Aminia) [03:24.19] Naeza fly wengine hawatoshi [03:27.12] (Aminia) [03:29.27] Aminia, aminia, aminia [03:32.01] (Aminia) [03:32.13] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [03:34.11] Aminia [03:35.03] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah [03:37.02] Aminia [03:38.03] Ah-ah-ah-ah-ah, yeah Aminia [03:39.19] Aminia