Now You Know

Now You Know Lyrics

Song Now You Know
Artist Nyashinski
Album Now You Know
Download Image LRC TXT
[00:12.50] Huyo ni fala mgani anaweka ma mng'ari
[00:15.12] Kwa list juu ya ferrari yeah
[00:17.49] Ana degree au ni journalist tu juu ana list(whoop)
[00:20.56] Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi
[00:23.62] Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye ye yeah
[00:28.93] Na naskia inasemekana
[00:30.85] Ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama
[00:34.00] Ma ordinary wanankubali na hata watiaji hawaezi kana
[00:37.51] Kuna wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana
[00:41.24] Mama mama
[00:43.10] Kijana wako amepotea
[00:44.24] Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea
[00:48.12] Mwenyezi pekee anaeza muokoa kimaisha amelegea
[00:51.67] Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina
[00:57.13]
[01:08.61] Yeah sionangi haja ya ufisi
[01:11.04] Sina njaa najua mpishi
[01:12.73] Sijai fanya kazi ya ofisi
[01:14.24] Sijai lala ka sijadishi
[01:15.92] Sijarap kitu ka kutoka '06 ivi
[01:17.94] Trust me siezi rust mimi
[01:19.49] Ata niache mziki miaka hamsini
[01:21.30] Nikirudi bado nawacrush nyinyi
[01:23.28] Niko first mi ndani ya party
[01:24.98] Na nguo rasmi imepigwa pasi
[01:26.55] Hapo katikati napiga mic check
[01:28.24] Juu niko party na niko night shift
[01:30.19] Nilikuwa busy sikuwa najificha
[01:31.24] Clearly you rappers missed your teacher
[01:33.11] Vitu mnaandika zinachoma picha
[01:34.99] Nikiwish singewacha kuwafundisha
[01:36.45] Sauti naskia ni
[01:38.22] Don't waste your time wishing you're too proud my baby
[01:41.82] Too proud to wish they had an easy way out
[01:45.04] Let times get tough so they remember you're a blessing
[01:48.68] When life is good they will forget to say
[01:52.03]
[02:06.54] Naulizwa mbona niliacha mziki
[02:08.18] Ati nilikuwa mkali juu ya mic na namissiwa na mashabiki
[02:11.34] Niliacha game mapema hata kabla refa hajapiga firimbi
[02:14.84] Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi
[02:18.59] Samahani nimepotea
[02:20.19] Shukrani kwa wale wamenifikiria
[02:21.65] Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia
[02:25.64] Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya kuskia nikiwaimbia
[02:29.01] Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya vile mnafanya ma pioneer
[02:32.53] Story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika
[02:35.96] Show ni ule jamaa aliimba 'Ada Ada' ebu come ucurtain raisie mnaija
[02:39.25] It's not that serious rap ni hobby
[02:41.25] Bila mziki bado namanga
[02:42.80] Ingekuwa career si ningekuwa nalia kuskia ati Naija Night Nairobi
[02:46.46] Ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda
[02:51.50] Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio kuuenda
[02:54.49] Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu
[02:57.16] Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi
[03:00.28] So now you know
[03:02.77] Shinski
[03:03.72] So now you know
[03:06.12] Beat ya Keggah
[03:07.07] So now you know
[03:10.86]
Now You Know Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)