[00:12.50] Huyo ni fala mgani anaweka ma mng'ari [00:15.12] Kwa list juu ya ferrari yeah [00:17.49] Ana degree au ni journalist tu juu ana list(whoop) [00:20.56] Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi [00:23.62] Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye ye yeah [00:28.93] Na naskia inasemekana [00:30.85] Ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama [00:34.00] Ma ordinary wanankubali na hata watiaji hawaezi kana [00:37.51] Kuna wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana [00:41.24] Mama mama [00:43.10] Kijana wako amepotea [00:44.24] Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea [00:48.12] Mwenyezi pekee anaeza muokoa kimaisha amelegea [00:51.67] Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina [00:57.13] [01:08.61] Yeah sionangi haja ya ufisi [01:11.04] Sina njaa najua mpishi [01:12.73] Sijai fanya kazi ya ofisi [01:14.24] Sijai lala ka sijadishi [01:15.92] Sijarap kitu ka kutoka '06 ivi [01:17.94] Trust me siezi rust mimi [01:19.49] Ata niache mziki miaka hamsini [01:21.30] Nikirudi bado nawacrush nyinyi [01:23.28] Niko first mi ndani ya party [01:24.98] Na nguo rasmi imepigwa pasi [01:26.55] Hapo katikati napiga mic check [01:28.24] Juu niko party na niko night shift [01:30.19] Nilikuwa busy sikuwa najificha [01:31.24] Clearly you rappers missed your teacher [01:33.11] Vitu mnaandika zinachoma picha [01:34.99] Nikiwish singewacha kuwafundisha [01:36.45] Sauti naskia ni [01:38.22] Don't waste your time wishing you're too proud my baby [01:41.82] Too proud to wish they had an easy way out [01:45.04] Let times get tough so they remember you're a blessing [01:48.68] When life is good they will forget to say [01:52.03] [02:06.54] Naulizwa mbona niliacha mziki [02:08.18] Ati nilikuwa mkali juu ya mic na namissiwa na mashabiki [02:11.34] Niliacha game mapema hata kabla refa hajapiga firimbi [02:14.84] Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi [02:18.59] Samahani nimepotea [02:20.19] Shukrani kwa wale wamenifikiria [02:21.65] Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia [02:25.64] Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya kuskia nikiwaimbia [02:29.01] Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya vile mnafanya ma pioneer [02:32.53] Story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika [02:35.96] Show ni ule jamaa aliimba 'Ada Ada' ebu come ucurtain raisie mnaija [02:39.25] It's not that serious rap ni hobby [02:41.25] Bila mziki bado namanga [02:42.80] Ingekuwa career si ningekuwa nalia kuskia ati Naija Night Nairobi [02:46.46] Ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda [02:51.50] Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio kuuenda [02:54.49] Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu [02:57.16] Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi [03:00.28] So now you know [03:02.77] Shinski [03:03.72] So now you know [03:06.12] Beat ya Keggah [03:07.07] So now you know [03:10.86]