Finyo

Finyo Lyrics

Song Finyo
Artist Nyashinski
Album Finyo
Download Image LRC TXT
[00:02.07] Hodi kwa mama mtoto mkorofi
[00:04.13] acha nikuambie ka unataka kuona machozi
[00:07.01] Ya mtoto mchokozi
[00:08.10] Itabidi uongeze pilipili kwa biriani
[00:11.00] Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi
[00:13.24] Hatutuliangi
[00:15.14] Na ndukulu ni bangi
[00:16.21] Na ina harufu mbaya
[00:18.06] Na inaudhi majirani
[00:19.10] Lakini haidhuru ni sawa
[00:20.19] Acha wahamie mashinani
[00:22.02] Ka inawadhuru vibaya
[00:23.21] Yo! Hey! Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner
[00:26.10] Mi na squadi iko chrome
[00:27.23] Na macon men na wakora
[00:29.00] Wana Diploma zakufungualisha Grogon ma Corolla
[00:31.28] The Boredom mnasorora Vile hamna Talent
[00:33.25] So mmegeuza game Sodom na Gomora
[00:36.05] Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako
[00:38.23] Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako
[00:41.02] Ka unatafuta ule anajua kupika uji
[00:43.09] Sio kupiga picha uchi
[00:44.24] Unfollow Nyako follow nyanyako
[00:46.19] Ukitaka nyama hapa sawa chief
[00:48.17] Hii butchery tunaita usiwahi blunder
[00:50.27] Na beef siuangalia ni ka skangaa
[00:53.07] Bonga shit unatandikwa ka kitambaa bedcover ama handkerchief
[00:57.19] If your God is money
[00:59.00] Then you're poor to me
[01:00.10] I have a feeling
[01:01.08] You are not who you pretend to be on IG
[01:04.02] Kutoka nursery,
[01:05.15] I have been a winner
[01:06.27] Msiniweke gasoline
[01:08.14] Na bado hamjazima moto niliwasha '03
[01:11.07] Na kam na (finyo)
[01:12.15] Macho macho(finyo)
[01:13.20] Ndivyo tuna (finyo)
[01:15.02] Pasito na (finyo)
[01:16.09] Mwendo tuna (finyo)
[01:17.20] Mwenye tuna (finyo sana)
[01:19.15] Be ready for the world
[01:20.27] Is it ready for you?
[01:22.16] You waiting for your girl
[01:23.19] Is she waiting for you?
[01:24.19] Uliskia type yako hu like mabachelors
[01:26.15] Sijui kama ni true
[01:27.13] IG bae ni yule carpenter
[01:29.06] I feel ka ni true
[01:30.07] Ah-ah ni reasoning si umang'aa
[01:32.01] Ujinga ndo si hukataa
[01:33.16] Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaaa
[01:36.08] Greatness ni kuamkia legacy sio chapaaa
[01:38.19] Siwezi kuwa juu ya thao Ka Kwangu thao sio chapaa
[01:41.10] My apartment is in Amsterdam
[01:42.29] Certified Rasta man
[01:44.12] Aki sometime na hang
[01:45.29] I feel like am Sadam
[01:47.07] I feel like am the best
[01:48.13] Me kumake man impress (Zii)
[01:50.16] Kufake hapiness (Zii)
[01:51.25] Me ni m merciless
[01:52.29] Am ill, na nitawatesa until mkubali kesi,
[01:56.01] Ka sitaku Impress na skill ni pamba freshi,
[01:58.14] Ukidai tuingie commercial still na kuwanga messy
[02:01.14] Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi
[02:04.02] Hii ndo inaitwa One shot kill
[02:05.26] Na feelingi fiti nikiwamada ki action film
[02:08.19] Na Believe hii muziki itanibuyia mansion still
[02:14.04] If your God is money
[02:15.16] Then you're poor to me
[02:16.29] I have a feeling
[02:17.19] You are not who you pretend to be on IG
[02:20.13] Kutoka nursery,
[02:22.06] I have been a winner
[02:23.13] Msiniweke gasoline
[02:24.25] Na bado hamjazima moto niliwasha '03
[02:27.20] Na kam na (finyo)
[02:28.23] Macho macho(finyo)
[02:30.04] Ndivyo tuna (finyo)
[02:31.15] Pasito na (finyo)
[02:32.27] Mwendo tuna (finyo)
[02:34.08] Mwenye tuna (finyo sana)
[02:35.16] Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima
[02:37.10] Nakam na plough mbili
[02:38.27] Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hehe)
[02:41.16] Niko na issue ikiwa juu yangu kama sio kofia
[02:44.06] Kwa ma issue za vitabu za historia
[02:47.01] Jina yangu watoi wako wataisoma pia
[02:49.25] Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia
[02:52.10] Nishakuskia kila year ukilia utarun next year
[02:54.29] Si this Year pia ilianza ukilia "Walai this year!"
[02:57.25] Next year nitaquit niko high juu niko high this year
[03:00.17] Sitakuwa high next year ka nitakuwa high next year
[03:03.10] Excuse, excuse me!
[03:05.02] Please sorry thank you!
[03:06.17] Mission impossible!
[03:07.28] Kifo ni ngori jo!
[03:09.12] Na isikupate ukitry too hard to be perfect
[03:12.02] Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet
[03:14.23] Smile ka bado hujapita budget
[03:17.13] Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
[03:20.07] Inapiga! inapiga! kushinda earthquake
[03:23.01] Inapiga! inapiga! kushinda earthquake
[03:25.24] Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake
[03:28.14] Uhunye na Rao wamepiga handshake!
Finyo Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)