[00:02.07] Hodi kwa mama mtoto mkorofi [00:04.13] acha nikuambie ka unataka kuona machozi [00:07.01] Ya mtoto mchokozi [00:08.10] Itabidi uongeze pilipili kwa biriani [00:11.00] Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi [00:13.24] Hatutuliangi [00:15.14] Na ndukulu ni bangi [00:16.21] Na ina harufu mbaya [00:18.06] Na inaudhi majirani [00:19.10] Lakini haidhuru ni sawa [00:20.19] Acha wahamie mashinani [00:22.02] Ka inawadhuru vibaya [00:23.21] Yo! Hey! Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner [00:26.10] Mi na squadi iko chrome [00:27.23] Na macon men na wakora [00:29.00] Wana Diploma zakufungualisha Grogon ma Corolla [00:31.28] The Boredom mnasorora Vile hamna Talent [00:33.25] So mmegeuza game Sodom na Gomora [00:36.05] Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako [00:38.23] Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako [00:41.02] Ka unatafuta ule anajua kupika uji [00:43.09] Sio kupiga picha uchi [00:44.24] Unfollow Nyako follow nyanyako [00:46.19] Ukitaka nyama hapa sawa chief [00:48.17] Hii butchery tunaita usiwahi blunder [00:50.27] Na beef siuangalia ni ka skangaa [00:53.07] Bonga shit unatandikwa ka kitambaa bedcover ama handkerchief [00:57.19] If your God is money [00:59.00] Then you're poor to me [01:00.10] I have a feeling [01:01.08] You are not who you pretend to be on IG [01:04.02] Kutoka nursery, [01:05.15] I have been a winner [01:06.27] Msiniweke gasoline [01:08.14] Na bado hamjazima moto niliwasha '03 [01:11.07] Na kam na (finyo) [01:12.15] Macho macho(finyo) [01:13.20] Ndivyo tuna (finyo) [01:15.02] Pasito na (finyo) [01:16.09] Mwendo tuna (finyo) [01:17.20] Mwenye tuna (finyo sana) [01:19.15] Be ready for the world [01:20.27] Is it ready for you? [01:22.16] You waiting for your girl [01:23.19] Is she waiting for you? [01:24.19] Uliskia type yako hu like mabachelors [01:26.15] Sijui kama ni true [01:27.13] IG bae ni yule carpenter [01:29.06] I feel ka ni true [01:30.07] Ah-ah ni reasoning si umang'aa [01:32.01] Ujinga ndo si hukataa [01:33.16] Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaaa [01:36.08] Greatness ni kuamkia legacy sio chapaaa [01:38.19] Siwezi kuwa juu ya thao Ka Kwangu thao sio chapaa [01:41.10] My apartment is in Amsterdam [01:42.29] Certified Rasta man [01:44.12] Aki sometime na hang [01:45.29] I feel like am Sadam [01:47.07] I feel like am the best [01:48.13] Me kumake man impress (Zii) [01:50.16] Kufake hapiness (Zii) [01:51.25] Me ni m merciless [01:52.29] Am ill, na nitawatesa until mkubali kesi, [01:56.01] Ka sitaku Impress na skill ni pamba freshi, [01:58.14] Ukidai tuingie commercial still na kuwanga messy [02:01.14] Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi [02:04.02] Hii ndo inaitwa One shot kill [02:05.26] Na feelingi fiti nikiwamada ki action film [02:08.19] Na Believe hii muziki itanibuyia mansion still [02:14.04] If your God is money [02:15.16] Then you're poor to me [02:16.29] I have a feeling [02:17.19] You are not who you pretend to be on IG [02:20.13] Kutoka nursery, [02:22.06] I have been a winner [02:23.13] Msiniweke gasoline [02:24.25] Na bado hamjazima moto niliwasha '03 [02:27.20] Na kam na (finyo) [02:28.23] Macho macho(finyo) [02:30.04] Ndivyo tuna (finyo) [02:31.15] Pasito na (finyo) [02:32.27] Mwendo tuna (finyo) [02:34.08] Mwenye tuna (finyo sana) [02:35.16] Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima [02:37.10] Nakam na plough mbili [02:38.27] Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hehe) [02:41.16] Niko na issue ikiwa juu yangu kama sio kofia [02:44.06] Kwa ma issue za vitabu za historia [02:47.01] Jina yangu watoi wako wataisoma pia [02:49.25] Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia [02:52.10] Nishakuskia kila year ukilia utarun next year [02:54.29] Si this Year pia ilianza ukilia "Walai this year!" [02:57.25] Next year nitaquit niko high juu niko high this year [03:00.17] Sitakuwa high next year ka nitakuwa high next year [03:03.10] Excuse, excuse me! [03:05.02] Please sorry thank you! [03:06.17] Mission impossible! [03:07.28] Kifo ni ngori jo! [03:09.12] Na isikupate ukitry too hard to be perfect [03:12.02] Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet [03:14.23] Smile ka bado hujapita budget [03:17.13] Na ka umepita ficha shida chini ya carpet [03:20.07] Inapiga! inapiga! kushinda earthquake [03:23.01] Inapiga! inapiga! kushinda earthquake [03:25.24] Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake [03:28.14] Uhunye na Rao wamepiga handshake!