My Baby

My Baby Lyrics

Song My Baby
Artist Chin Bees
Album Ladha
Download Image LRC TXT
[00:02.76] Ohuooo ohuooo(Wanene)
[00:10.99] Ohooo (Chin Bees)
[00:14.38] Eeeh niko radhi nichizikee niko radhi nichizike
[00:16.20] Kwako nifike kwako nifikeee
[00:20.79] We kwangu ni real we kwangu ni real spare
[00:24.16] Siwezi kucheat oohuoou siwezi kucheat
[00:27.54] Niko chini ya ulinzi niko chini ya ulinzi eeh
[00:31.09] We nimaliziee we nimalizeeee
[00:34.69] We kwangu ni real we kwangu ni real spare
[00:38.44] Siwezi kucheat ooohuoou
[00:40.90] My baby baby tunda langu baby
[00:43.96] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[00:47.79] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
[00:51.17] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[00:54.59] My baby baby tunda langu baby
[00:57.64] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[01:01.40] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
[01:05.11] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[01:08.59] Eeh dawa dawa mammy nipe dawa
[01:11.71] Kwako mgonjwa mahututi please nipe dawa
[01:15.33] Kwangu we ndio sawa unanipa power
[01:19.01] Namuomba Mungu akulinde mpaka mwisho wambwae mwisho wambwae
[01:24.63] Saresare kama kwaya
[01:26.35] Tuwafanye ubaya wenye roho zao mbaya
[01:29.00] Kama ubaya ubaya wacha wakuone mbaya
[01:32.32] Lengo lao tuwe chini yao chini yao
[01:35.92] My baby baby tunda langu baby
[01:39.25] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[01:42.42] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
[01:46.06] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[01:49.40] My baby baby tunda langu baby
[01:52.49] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily
[01:56.45] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby
[02:00.18] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily...
[02:03.29]
My Baby Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)