[00:02.76] Ohuooo ohuooo(Wanene) [00:10.99] Ohooo (Chin Bees) [00:14.38] Eeeh niko radhi nichizikee niko radhi nichizike [00:16.20] Kwako nifike kwako nifikeee [00:20.79] We kwangu ni real we kwangu ni real spare [00:24.16] Siwezi kucheat oohuoou siwezi kucheat [00:27.54] Niko chini ya ulinzi niko chini ya ulinzi eeh [00:31.09] We nimaliziee we nimalizeeee [00:34.69] We kwangu ni real we kwangu ni real spare [00:38.44] Siwezi kucheat ooohuoou [00:40.90] My baby baby tunda langu baby [00:43.96] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [00:47.79] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby [00:51.17] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [00:54.59] My baby baby tunda langu baby [00:57.64] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [01:01.40] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby [01:05.11] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [01:08.59] Eeh dawa dawa mammy nipe dawa [01:11.71] Kwako mgonjwa mahututi please nipe dawa [01:15.33] Kwangu we ndio sawa unanipa power [01:19.01] Namuomba Mungu akulinde mpaka mwisho wambwae mwisho wambwae [01:24.63] Saresare kama kwaya [01:26.35] Tuwafanye ubaya wenye roho zao mbaya [01:29.00] Kama ubaya ubaya wacha wakuone mbaya [01:32.32] Lengo lao tuwe chini yao chini yao [01:35.92] My baby baby tunda langu baby [01:39.25] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [01:42.42] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby [01:46.06] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [01:49.40] My baby baby tunda langu baby [01:52.49] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily [01:56.45] Moyo wangu ni mdhaifu sana kwako baby [02:00.18] Sitaki kukuona kwa saa nataka kuona daily... [02:03.29]