Sitamani

Sitamani Lyrics

Song Sitamani
Artist Mimi Mars
Album Sitamani
Download Image LRC TXT
[00:04.34] Switchh
[00:09.47] Sifikirii mangapi nafanya
[00:11.87] Kukuridhisha baba we
[00:13.70] Sitamani kua nawe tena tena aah
[00:18.49] Na vile me nimefundwa vyema nikavumilia kua nawe
[00:23.13] Nimeamini wahenga lisema sema aah
[00:27.93] Vyema kupenda ukipendwa
[00:30.68] Penda unapopendwa mpendwa
[00:33.08] Usijependa usipopendwa mpendwaaa
[00:38.00] Sitamani tena kupenda
[00:40.40] Nilishapenda na kutendwa
[00:42.87] Sitopenda nisipopendwa teena aah
[00:47.04] Sitamaniii
[00:51.87] Sifikiriiii
[00:56.63] Usidhanii
[01:01.36] Kua nami
[01:06.16] Kukupenda nikupende boy
[01:08.89] Ila ukaniona me kama koolo
[01:11.48] Navyotaka sitoweza boy
[01:13.86] Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo
[01:15.97] Kukupenda nikupende boy
[01:18.37] Ila ukaniona me kama koolo
[01:21.02] Navyotaka sitoweza boy
[01:23.42] Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo
[01:25.85] Vyema kupenda ukipendwa
[01:28.25] Penda unapopendwa mpendwa
[01:30.68] Usijependa usipopendwa mpendwaaa
[01:35.66] Sitamani tena kupenda
[01:38.09] Nilishapenda na kutendwa
[01:40.42] Sitopenda nisipopendwa teena aah
[01:44.68] Sitamaniii
[01:49.44] Sifikiriiii
[01:54.19] Usidhanii
[01:58.95] Kua nami
[02:03.94] Sitamanii yeah yeah yeah
[02:08.47] Sitamanii yeah
[02:12.28] Sitamanii yeah yeah yeah
[02:18.35] Sitamanii yeah
[02:23.37] Vyema kupenda ukipendwa
[02:25.77] Penda unapopendwa penda
[02:28.15] Usijependa usipopendwa mpendwa mpendwaaa
[02:33.26] Sitamani tena kupenda
[02:35.32] Nilishapenda na kutendwa
[02:38.29] Sitopenda nisipopendwa teena tena teenaaa
[02:42.44] Sitamaniii
[02:47.26] Sifikiriiii
[02:51.74] Usidhanii
[02:56.58] Kua nami
[03:02.83] "Esto kizy baby"
[03:06.82]
Sitamani Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)