[00:04.34] Switchh [00:09.47] Sifikirii mangapi nafanya [00:11.87] Kukuridhisha baba we [00:13.70] Sitamani kua nawe tena tena aah [00:18.49] Na vile me nimefundwa vyema nikavumilia kua nawe [00:23.13] Nimeamini wahenga lisema sema aah [00:27.93] Vyema kupenda ukipendwa [00:30.68] Penda unapopendwa mpendwa [00:33.08] Usijependa usipopendwa mpendwaaa [00:38.00] Sitamani tena kupenda [00:40.40] Nilishapenda na kutendwa [00:42.87] Sitopenda nisipopendwa teena aah [00:47.04] Sitamaniii [00:51.87] Sifikiriiii [00:56.63] Usidhanii [01:01.36] Kua nami [01:06.16] Kukupenda nikupende boy [01:08.89] Ila ukaniona me kama koolo [01:11.48] Navyotaka sitoweza boy [01:13.86] Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo [01:15.97] Kukupenda nikupende boy [01:18.37] Ila ukaniona me kama koolo [01:21.02] Navyotaka sitoweza boy [01:23.42] Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo [01:25.85] Vyema kupenda ukipendwa [01:28.25] Penda unapopendwa mpendwa [01:30.68] Usijependa usipopendwa mpendwaaa [01:35.66] Sitamani tena kupenda [01:38.09] Nilishapenda na kutendwa [01:40.42] Sitopenda nisipopendwa teena aah [01:44.68] Sitamaniii [01:49.44] Sifikiriiii [01:54.19] Usidhanii [01:58.95] Kua nami [02:03.94] Sitamanii yeah yeah yeah [02:08.47] Sitamanii yeah [02:12.28] Sitamanii yeah yeah yeah [02:18.35] Sitamanii yeah [02:23.37] Vyema kupenda ukipendwa [02:25.77] Penda unapopendwa penda [02:28.15] Usijependa usipopendwa mpendwa mpendwaaa [02:33.26] Sitamani tena kupenda [02:35.32] Nilishapenda na kutendwa [02:38.29] Sitopenda nisipopendwa teena tena teenaaa [02:42.44] Sitamaniii [02:47.26] Sifikiriiii [02:51.74] Usidhanii [02:56.58] Kua nami [03:02.83] "Esto kizy baby" [03:06.82]