|
Siku ya shangwe na siku ya furaha siku nipumzikayo moyoni, |
|
Takatifu iliyotakazwa na mungu,njoo sabato siku yenye baraka. |
|
Katika siku sita mungu baba alihitimisha yote yote mema, |
|
Siku ya saba akapumzika kazi zake zote alizofanya |
|
Akatoa amri ya kwamba iwe sabato kwa wote wampendao. |
|
Pumzikasiku ya sabato kama wampenda mungu |
|
Aliyeumba, Pumzika sabato kama kweli wampenda huyo mungu. |
|
Ukitaka siku yoyote iwe sabato waweza kuifanya na ikawa |
|
Lakini ujuwe kua iko sabato moja Ikubaliwayo na mungu |
|
Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana |
|
Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni |
|
Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana |
|
Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni |