Siku ya shangwe na siku ya furaha siku nipumzikayo moyoni, Takatifu iliyotakazwa na mungu,njoo sabato siku yenye baraka. Katika siku sita mungu baba alihitimisha yote yote mema, Siku ya saba akapumzika kazi zake zote alizofanya Akatoa amri ya kwamba iwe sabato kwa wote wampendao. Pumzikasiku ya sabato kama wampenda mungu Aliyeumba, Pumzika sabato kama kweli wampenda huyo mungu. Ukitaka siku yoyote iwe sabato waweza kuifanya na ikawa Lakini ujuwe kua iko sabato moja Ikubaliwayo na mungu Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni