| Mandugu Digi | |
| Ii beat noma msee | |
| Nairobi, Bonge la... Kampala | |
| Au sio moto | |
| Eeeeh | |
| Naskia sauti yangu fiti manzee | |
| Hehe eeeeh | |
| Gengee | |
| Nani amekunoki zaidi kunishinda | |
| Ukiniita kila siku naitika | |
| Unakumbuka pahali nilikuona mara ya kwanza | |
| Nilikuwa five years hapa kejani na brother | |
| Nilikuchukua nikakuingiza kwa tape | |
| Nikakuskizia nikasema heeee | |
| We ni mnoma naeza ka na wewe | |
| Ebu songa naeza cheza na wewe | |
| Game yoyote utafikiria | |
| Ukikatika mi nakuunganishia | |
| Umepona sai jiskizie | |
| Machine ikisonga hebu niimbie | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza | |
| Tulisumbuka na mwishowe tukapenya | |
| Kwote tunaenda, wote watupenda | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza | |
| Sa ii umegeuka unaitwa LP | |
| Lazima nijichunge usindunge na pin | |
| Unaruka ruka nasjui ni kwanini | |
| Dawa yako inakushikilia na shillingi | |
| Naona mbuyu siku hizi unambamba | |
| Na lugha mpya ati unaitwa lingala | |
| Kwa club nakusukma hutoki | |
| Ni saa kumi usiku kwani huchoki | |
| Twende mtaani tutulie | |
| Stima ndio hio nikuandalie | |
| Umenona sa ii jiskizie | |
| Machine ikisonga hebu niimbie | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza | |
| Tulisumbuka na mwishowe tukapenya | |
| Kwote tunaenda, wote watupenda | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza | |
| Video sana sku hizi | |
| Kila mtu anaringa anakuita CD | |
| Naona umeoga umepunguza uchafu | |
| Dance basi mbele ya watu | |
| Angalau tukuone | |
| Mapirates nao wasikuchome | |
| Wanakuharibia biashara | |
| Na kipindi ya sa ii ni lala salama | |
| Nakuingia unapumua reggae | |
| Mtoi wetu wa kwanza ataitwa genge | |
| Kenya mzima tunaifungua | |
| Uganda na bongo tushazichukua | |
| Miaka tisa ni mingi sana | |
| Waalike kwa harusi, waambie tunaoana | |
| Pete nazo tunavishana | |
| Hatuna hapa ati tutaachana | |
| Akiko ni nywele kila mtu na yake | |
| Mdomo ulimi nakupiga mate | |
| Hii safari mpaka kilele | |
| Sauti yangu nakupa milele | |
| Naona beste yako radio yuko apa | |
| TV na mapresenter wote | |
| Waambie basi | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza | |
| Tulisumbuka na mwishowe tukapenya | |
| Kwote tunaenda, wote watupenda | |
| Tulijikaza na mwishowe tukaweza |