Mandugu Digi Ii beat noma msee Nairobi, Bonge la... Kampala Au sio moto Eeeeh Naskia sauti yangu fiti manzee Hehe eeeeh Gengee Nani amekunoki zaidi kunishinda Ukiniita kila siku naitika Unakumbuka pahali nilikuona mara ya kwanza Nilikuwa five years hapa kejani na brother Nilikuchukua nikakuingiza kwa tape Nikakuskizia nikasema heeee We ni mnoma naeza ka na wewe Ebu songa naeza cheza na wewe Game yoyote utafikiria Ukikatika mi nakuunganishia Umepona sai jiskizie Machine ikisonga hebu niimbie Tulijikaza na mwishowe tukaweza Tulisumbuka na mwishowe tukapenya Kwote tunaenda, wote watupenda Tulijikaza na mwishowe tukaweza Sa ii umegeuka unaitwa LP Lazima nijichunge usindunge na pin Unaruka ruka nasjui ni kwanini Dawa yako inakushikilia na shillingi Naona mbuyu siku hizi unambamba Na lugha mpya ati unaitwa lingala Kwa club nakusukma hutoki Ni saa kumi usiku kwani huchoki Twende mtaani tutulie Stima ndio hio nikuandalie Umenona sa ii jiskizie Machine ikisonga hebu niimbie Tulijikaza na mwishowe tukaweza Tulisumbuka na mwishowe tukapenya Kwote tunaenda, wote watupenda Tulijikaza na mwishowe tukaweza Video sana sku hizi Kila mtu anaringa anakuita CD Naona umeoga umepunguza uchafu Dance basi mbele ya watu Angalau tukuone Mapirates nao wasikuchome Wanakuharibia biashara Na kipindi ya sa ii ni lala salama Nakuingia unapumua reggae Mtoi wetu wa kwanza ataitwa genge Kenya mzima tunaifungua Uganda na bongo tushazichukua Miaka tisa ni mingi sana Waalike kwa harusi, waambie tunaoana Pete nazo tunavishana Hatuna hapa ati tutaachana Akiko ni nywele kila mtu na yake Mdomo ulimi nakupiga mate Hii safari mpaka kilele Sauti yangu nakupa milele Naona beste yako radio yuko apa TV na mapresenter wote Waambie basi Tulijikaza na mwishowe tukaweza Tulisumbuka na mwishowe tukapenya Kwote tunaenda, wote watupenda Tulijikaza na mwishowe tukaweza