Hidden Treasure

Song Hidden Treasure
Artist Jazzamor
Album Travel...In Order Not To Arrive

Lyrics

Pole pole ndio mwendo wetu
Tukingoja tunabarikiwa
Kinachounga watu wawili
Pamoja ni upendo na heshima
You found me
Before I found myself on rocky shores
Hidden treasure
Far from a world I know before
Pole pole ndio mwendo wetu
Tukingoja tunabarikiwa
Kinachounga watu wawili
Pamoja ni upendo na heshima
I lost you
Before I lost myself again
Hidden treasure
A pearl I found on lovers' lane
Pole pole ndio mwendo wetu
Tukingoja tunabarikiwa
Kinachounga watu wawili
Pamoja ni upendo na heshima