MALAIKA

Song MALAIKA
Artist 小野リサ
Album NAIMA ~meu anjo~

Lyrics

[ti:]
[ar:]
[al:]
[00:21.55] Malaika nakupenda Malaika
[00:29.87] Malaika nakupenda Malaika
[00:37.18] Nami nifanyeje kijana mwenzio
[00:45.56] Nashindwa na mali sina we
[00:49.58] Ningekuoa Malaika
[00:54.05] Nashindwa na mali sina we
[00:57.75] Ningekuoa Malaika
[01:12.04] Kidege hukuwaza kidege
[01:20.52] Kidege hukuwaza kidege
[01:27.67] Nami nifanyeje kijana mwenzio
[01:36.16] Nashindwa na mali sina we
[01:40.33] Ningekuoa Malaika
[01:44.45] Nashindwa na mali sina we
[01:48.81] Ningekuoa Malaika
[02:34.29] Pesa zasumbua roho yangu
[02:42.77] Pesa zasumbua roho yangu
[02:49.79] Nami nifanyeje kijana mwenzio
[02:57.98] Nashindwa na mali sina we
[03:02.09] Ningekuoa Malaika
[03:06.66] Nashindwa na mali sina we
[03:10.62] Ningekuoa Malaika
[03:16.27] Malaika nakupenda Malaika