|
Hivi nachezea rhumba ama bolingo nangai |
|
Maana nina kiwembe kwenye vita ya masai |
|
Wanitesa mchumba nimependa sishangai |
|
Penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi |
|
Ila musiende nyumbani za wageni walete nyumbani kwangu |
|
Chunga taratibu na chaga msije vunja kitanda changu |
|
Nimekunulia na feni msisweti mke wangu |
|
Kama majasho mkimwaga litumie taulo langu |
|
Naaa Baya lako zuri kwangu yote nimekusamehe |
|
Kosa la kwako lawama kwangu acha tu nijitetee |
|
Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee |
|
Ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee |
|
Utamu wa pipi ni mate yangu |
|
Wapika na mimi wanakula wenzangu |
|
Ona nakosa siti kwenye gari langu |
|
Kuleni embe acheni kokwa langu |
|
Nateswa nateswa |
|
Mwenzenu nateswa na mapenzi |
|
Jamani nateswa nateswa |
|
Mwenzenu nateswa na mapenzi |
|
Mapenzi anapanga maanani sitaki kuruka kuruka |
|
Sawa ni pande kichwani ukichota itashuka |
|
Niite mfanyakazi wa ndani huna haja kusumbuka |
|
Kwani anakuja muda gani niwatandikie shuka |
|
Siogopi kushare ila usisahau kinga |
|
Japo kwangu fedheha kuku wa chando nashinda |
|
Kweli wanionea nakubali we ndo bingwa |
|
Nipo radhi kulea kama wakikupa mimba |
|
Naaa Baya lako zuri kwangu yote nimekusamehe |
|
Kosa la kwako lawama kwangu acha tu nijitetee |
|
Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee |
|
Ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee |
|
Utamu wa pipi ni mate yangu |
|
Wapika na mimi wanakula wenzangu |
|
Ona nakosa siti kwenye gari langu |
|
Kuleni embe acheni kokwa langu |
|
Nateswa nateswa |
|
Mwenzenu nateswa na mapenzi |
|
Jamani nateswa nateswa |
|
Mwenzenu nateswa na mapenzi |